Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Ila jamaa kasema type hiyo inapiga mizinga day one.Hata akiwa bussy muongeleshe, msimamishe na ndo njia rahis, mtu anae kupa attention akiwa bussy au njian ukaomba namba akakupa jua ndo kakuelewa