Huu mji kutongoza kazi sana...

Huu mji kutongoza kazi sana...

Mzee baba hapa mjini ni pesa tu hakuna kingine ao unaowaona wamevaa earphone hawana lolote warahisi sana sema baada ya salama tu kizinga cha maana utasikia ooh naomba ela nikanunue kitambaa nishone sare kuna sherehe
 
Hahahaha unatumia formula ya kijijini mjini chukua namba za wadada wengi mbalimbali km kumi hivi ...

Mjini ukijua kuchati ndo umejua kutongoza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Pole
 
Hahahaha unatumia formula ya kijijini mjini chukua namba za wadada wengi mbalimbali km kumi hivi ...

Mjini ukijua kuchati ndo umejua kutongoza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Pole
Mji mgumu kwa kweli!!
 
Hata huyo mdada wa hapo jirani unapoishi busy na earphone na smartphone?
 
Hakuna sehem rahis kula madem kama dar, mana ni kubonyeza tu hasa vident
 
Hata akiwa bussy muongeleshe, msimamishe na ndo njia rahis, mtu anae kupa attention akiwa bussy au njian ukaomba namba akakupa jua ndo kakuelewa
 
Jana nimejaribu hii mbinu, nikawa nimsemesha mdada hanisikii akitoa headphones siongei.... nikaona ananipa umakini na kutarajia neno.

Sikuwa na mpango zaidi ya kumsumbua tu, akiweka earphones namsemesha tena anazitoa.... anauliza “unasemaje” kwa shauku nami sisemi tena.

Nilivyoona ananihitaji zaidi ya ninavyomhitaji nikauchuna, unaweza kujikuta umeuziwa majukumu ya ziada bila shuruti.
 
Kuna wakati nilikuwa najiuliza mtu anaanzaje kubeba malaya au baamed, ila sasa naanza kuwaelewa.. Kwa hali ya dsm kuliko kutongozana ni bora ununue tu huduma.

NB: Wataalam wa mambo nipeni mbinu, mnawawezaje hawa wadada wa mjini walio busy na smartphone na earphone muda wote??
Yawezekana kuwa wao ndio wauzaji - malaya au barmaid, hivyo nao hawajazoea kutongozwa.
 
Back
Top Bottom