Mkuu tangu nimeanza kuangalia series za kituruki mkorea nili mpiga teke ,waturuki wako vizuri kuanzia series za kifalme,kiinterejencia,kijeshi, hata kwenye love story.Ondoa korea ndo uwaweke hao wengine ili wawe na haki ya kushindana. Korea ni mkali wa wakati wote
Cc. Jumong
Cc. Hong Gilidong
mkuu tafuta black sun ya kikorea alf fikiria tena kujibuKusema kweli kuzipanga hivi hivi tu ni kazi bila kiziwekea category hapo labda kidogo utaweza mfano
- kwa series kali zakijasusi mimi nampa
AMERICA
rejea prison break , 24 hrs
- kwa series kali za love story nampa
MFILIPINO
rejea timeless , it might be you na long wait
- kwa seriea kali za kijeshi na kifalme hapa nampa
Mkorea
Huu ni mtazamo wangu , nakaribisha pia mitazamo ya watu wengine ili tuweze kupata maoni na burudani zaidi.
Wakati unazaliwa wazazi wako walikuwa wanafanya kazi,sasa unafanya kazi na watoto wako watafanya kazi.there is more in life than just working.Na wewe ukaungana na vijana wakuni na majuha kijiweni wasio na kazi wala uwezo wa fikra pana za kujiongeza waondokane na laana(maagano) za/ya kimasikini kutoka kwenye koo zao ukaenda kubishania uzwazwa?!
Tutapata katiba mpya kweli?!
We ni mpuuzi!Wakati unazaliwa wazazi wako walikuwa wanafanya kazi,sasa unafanya kazi na watoto wako watafanya kazi.there is more in life than just working.
Find life but don't forget living
Duuuh, mbona umemaliza mjadala mapema hivyo ..😄😄😄Kusema kweli kuzipanga hivi hivi tu ni kazi bila kiziwekea category hapo labda kidogo utaweza mfano
- kwa series kali zakijasusi mimi nampa
AMERICA
rejea prison break , 24 hrs
- kwa series kali za love story nampa
MFILIPINO
rejea timeless , it might be you na long wait
- kwa seriea kali za kijeshi na kifalme hapa nampa
Mkorea
Huu ni mtazamo wangu , nakaribisha pia mitazamo ya watu wengine ili tuweze kupata maoni na burudani zaidi.
Neno kuntu sana hili mkuu, kwanza mkorea ana taste ya kipekee huwezi kumshindanisha na mtu...ni sawa uulizwe kati ya nanasi na embe lipi tunda tamuOndoa korea ndo uwaweke hao wengine ili wawe na haki ya kushindana. Korea ni mkali wa wakati wote
Cc. Jumong
Cc. Hong Gilidong