Huu mgao wa umeme unaendeleaje nchini, why serikali inaficha na kudai kuna ziada ya umeme?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme.

Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda sijui nini.

Nchi yetu wote tusifichane
 
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini , lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme

Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza Kuna mgao japo upo na hii Ni kulinda sijui Nini.

Nchi yetu wote tusifichane.

Funga Solar mkuu maana hii serikali ya 5 tena haiweleweki usikute wanamake kununua midege mingine isiyo na tija.
 
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini , lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme

Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza Kuna mgao japo upo na hii Ni kulinda sijui Nini.

Nchi yetu wote tusifichane
Imefichwa koona itakuwa umeme. Tulia tunanyoosha nchi.
 
ndani ya week mbili naweza sema tulikua na siku 5 za bila umeme.. leo hii tangu saa 9 umerudi saa 6 usiku. Mji Kasoro.
Nipo Chuga, juzi, jana ulikuwa mgawo. Yaani jijini mtaa mwingine ulikuwa na umeme mwingine haukuwa na umeme, waliuachia saa kumi jioni tangu waubane kuanzia asubuhi
 
Kimara ndio usiseme siku za kazi lazima umeme ukatike,nafuu IPO weekend jmosi na jpili,nazo wakiamua wanapita nao mpaka usiku wa manane toka walipokata asubuhi au mchana
 
Kataa kwa kusema eneo lako hakuna mgao. Mbeya kila siku umeme unakatika baadhi ya maeneo jioni mpaka usiku wa manane wengine asubuhi mpaka jioni.
Wanasema Kuna ziada
Idodomya hakuna mgao wa umeme wa Tanesco, labda dharura na ndani ya saa moja unarudi, labda tupo njiani na umeme unaokwenda Kanda ya ziwa ukitokea Mtera Kidatu nk
labda maji kidogo lkn haipiti siku tatu
 
Ndio hivyo mkuu, huku kwetu mi mgao tu.
 
Back
Top Bottom