Huu mchezo Wanaume wanawafanyia sana Wanawake

Huu mchezo Wanaume wanawafanyia sana Wanawake

Na hata duka likifungwa, ukubwa dawa. Mtaendelea kuongelea uwekezaji, ujenzi na kukamata ardhi.

yaani mahusiano ya kitoto focus ni sex tu! Aisee, utoto taabu sana.
Hayo ni mambo ya kitoto sana......

Ukweli ni kwamba kila mtu atafanya kutegemea na hisia alizonazo kwa huyo mwenzi wake....

Kama ni pozeo basi hakuna sababu ya kudanganya wala kupoteza muda...game likiisha na duka linafungwa...No more business!

Kani ugumu uko wapi hadi mtu uanze kutafuta sababu za kitoto?
 
Na hata duka likifungwa, ukubwa dawa. Mtaendelea kuongelea uwekezaji, ujenzi na kukamata ardhi.

yaani mahusiano ya kitoto focus ni sex tu! Aisee, utoto taabu sana.

Halafu michezo yenyewe hawaiwezi....ni sawa na vibogoyo kutamani makongoro!
 
Hii Njemba sijui inaokoteza wapi hizi "chunguzi" zake dah!!!
 
mmh lbd km umekutana na wale wanaotoa harufu mkuu...but toto linalonukia alf unalifia ww utachekecha mpk penat
 
Halafu vinaniliu vyenyewe viko mbaliiii! Pata picha vongekuwa ubavuni waziwazi kama minyoo!

post za hawa vijana muwe mnasoma na kupita kimyakimya, sidhani kama hapa una haja ya kutowa material yako kichwani kushauri.
 
kuna uzi uko humu unatafutwa na mtu ambaye hataki mwanamume akutaje kwenye comment yake au a like comment yako.Wadau wanasubiri upande wako.

uwiiiiiiiiii nipe jina la huo uzi nani anajaribu kumchezea simba sharubu
 
Back
Top Bottom