Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
tujaribu na mimi ili ushuhudie.
hahahaha ni mwezi mtukufu huu ujue
tujaribu na mimi ili ushuhudie.
Ushawahi kufanyiwa ndo maana hujashuhudia bado
Hahaha utakamatwa japo huwezi kusema hiyo siku..!! Wazee wa michepuko wana mbinu bana asikwambie mtu..! Hapa kwenyewe unapigiwa mahesabu..!! Ukinasa na ukakutana na hilo tatizo njoo na feedback basihahahahaha watanikamatia wapi sasa huwa sinasagi kwenye tundu bovu
Sasa hapa ushaharibu mambo..!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nimeitwa mara moja ofisini munkari acha niende
hahahaha sijawahi kabisaa huwa sitoi moyo wangu kwa teamb
Hahaha tTeh MCHUNGUZI HURU umekuja kutuumbua mbinu zetu?
Msalimie sana Mshinga aisee mwambie amekuja kivingine
Hahaha utakamatwa japo huwezi kusema hiyo siku..!! Wazee wa michepuko wana mbinu bana asikwambie mtu..! Hapa kwenyewe unapigiwa mahesabu..!! Ukinasa na ukakutana na hilo tatizo njoo na feedback basi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
TeamB wanajua Sana mapenzi sana
Aisee..mbona hizi thread zako zote kiuhalisia zinatakiwa ziwasilishwe na jinsia ke....hii mara ya tatu..i'm losing patience...next tym expect an irritating me!Mi ndio MCHUNGUZI HURU, nafanya chunguzi nikiwa huru kimawazo... ukikubali chukua, hutaki unaacha. I DARE TO POST THREAD OPENLY...
Mwanaume akishafanya sex na mwanamke akawa hajisikii kuendelea kukaa mahali walipo either iwe kwenye hotel au nyumbani kwa mwanaume au mwanamke lakini mwanamke bado anahitaji kuendelea kuwa na huyo mwanaume, unajua mwanaume huwa anafanya nini ili kuondoka au mwanamke aondoke? Endelea kusoma MCHUNGUZI HURU nikueleze kinachofanyika.
Ikumbuke kwamba mara nyinGi mwanaume akishasex na mwanamke huwa anapoteza hamu kwa huyo mwanamke yaani ghafla anajikuta hana mzuka na huyo mwanamke (mara nyingi).
Mwanaume akiwa anataka aondoke au uondoke humtumia sms rafiki yake "mwanangu fanya unitumie sms au unipigie niambie nahitajika ofisini haraka sana" au "unahitajika haraka sana chuoni" baada ya kumtumia rafiki yake basi atapigiwa simu afu anaweza weka loud speaker ili usikie au atatumiwa sms na huyo jamaa yake na atakuonyesha kabisa hiyo sms ila ukimwambia nikusindikize atakataa... ha ha ha.... akishafanya hivyo basi tena ndio anakuwa ashaondoka, siku akiwa na hamu tena anakuita akimaliza anakuja na ujanja mwingne...... wanaume ni janga kwa taifa
MCHUNGUZI HURU
ooh yeah lakini tatizo wana michepuko haina idadi
Hayo ni mambo ya kitoto sana......
Ukweli ni kwamba kila mtu atafanya kutegemea na hisia alizonazo kwa huyo mwenzi wake....
Kama ni pozeo basi hakuna sababu ya kudanganya wala kupoteza muda...game likiisha na duka linafungwa...No more business!
Kani ugumu uko wapi hadi mtu uanze kutafuta sababu za kitoto?