Huu mchepuko umenipa habari njema

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,095
Reaction score
62,032
Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana.

Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha.
Kwa furaha niliyonayo, hapa nipo kifua wazi napata kinywaji cha lubisi kwa kusherehekea ushindi.

Kama kuna mlimbwende anatafuta watoto mapacha asisite kunitafuta.​
 
Wakizaliwa kapime DNA.. Ni ushauri tuuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…