Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,730
- 24,566
- Thread starter
-
- #21
Wana Majibu mabaya sana hao wahudumu. Ni kama tunawaomba hela ya burekuna ndugu yangu alikua na mahesabu marefu sana alichoka alipopwa laki 4 πππππ nacheka kama mazuri dah!
Halafu walivo na majibu ya dharau badala wamueleweshe wanamjibu pumba, iko siku watakuja kukutana na kichaa tuwasome kwenye vyombo vya habari.
Natamani nikajilipuwe Ofisini kwaoPole sana mkuu, mbogamboga hawana huruma na mtu.
Mkuu,Mkipigiwa simu hampokei, tukija Ofisini mnaishia kusema "swala lako linashughulikiwa". Maana yake ni nini?
Hilo la 33% ya mshahara mimi nalifahamu. Ninachotaka mimi nipewe kwa wakati.Kuna Jamaa alifukuzwa kazi aka fatilia pesa zake kama 5M, akawa kashafanya research yake afungue biashara yake ya 5M
Mwisho wa siku wamempa 30% anawauliza inakuaje hii wanamjibu kirahisi tu yeye ni bachelor holder hatachelewa kupata kazi, hawa mboga mboga ni zaidi ya mashetani huyu kijana kustack tu saizi
Yaani hadi natamani nikamuuwe mmoja. hata nikipoteza maisha nadhani italeta heshima kwa waliobaki. Huu ni upumbavu usiovumilikashida ya taasisi za serikali , ni kwamba hawaogopi kufukuzwa kazi, na kuna vitu vingine nadhani hata mamlaka zinaelewa hivyo hao watendaji hawaoni noma kukuzungusha --- maana haiingii akilini unafika ofisi wewe kama mteja wanakuzungusha hadi unaanza kufahamu jinsi wanavyotakiwa kufanya kazi
sasa hapo mkuu si utaenda kuozea jela, ngoja wabobevu watakupa mawazoYaani hadi natamani nikamuuwe mmoja. hata nikipoteza maisha nadhani italeta heshima kwa waliobaki. Huu ni upumbavu usiovumilika
Ujumbe umefikaHakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa.
Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi.
Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge lipi?
Itoshe Kusema NSSF Ni Matapeli kama Matapeli Wengine View attachment 3542538
Mtu Kapoteza ajira, anafungua dai la fao la kukosa ajira ili angalau funguwe office ndogo lakini mnampiga chenga Kila siku, Hakuna kinachoendelea. Mnataka ajitoe muhanga apambane na nyie?
Mkipigiwa simu hampokei, tukija Ofisini mnaishia kusema "swala lako linashughulikiwa". Maana yake ni nini?
Huu ni utapeli kama utapeli mwingine.
Siku zinakuja hizi taasisi za kitapeli na za kisenge zote tutazifuta kwa wino wa milele
Wapumbavu nyie.
Na huo ndiyo utendaji kazi wa mwafrika,Easy man!
Huo ndo utendaji kazi wa taasisi zote Nchini.
Siyo mahakama, taasisi za kifedha, polisi, afya na hata za kidini ukienda huko na shida yako utaambiwa subiri usiwe na haraka swala lako linashughurikiwa haijarishi itachukua miezi, miaka na hata ikibidi milele...!
πππππHapo bado! Utakapoenda unaambiwa unapewa 30% ya mshahara wako kila mwezi,utaenda kulilia posta mpya π€£
ππππππHizi hasira zihamishie kwenye kupambana na serikali dhalimu, mimi utanionea tu ππππ
Hio inabidi awape taarifa familia yake maana lolote likitokea pesa zake zitabaki mtandaoni.Kuna dogo mmoja alisema NSSF yake ni M_PESA
DOGO SIKUJUA ALI MAANISHA NINI DOGO YUPO KWENYE SECURITY COMPANIES..
Wao waliahodi ndani ya siku 30
Hapana. Nilikuwa najitahidi sanaNa huo ndiyo utendaji kazi wa mwafrika,
Hata ndugu yetu anayelalamika pia alifanya kazi kwa utaratibu huo, bahati mbaya amepigwa chini anakuja kutulilia Jf.
Kufanya kazi kwa mazoea, hakuna performance review, hakuna targets, hakuna professionalism, hakuna discipline, hakuna kuwawajibishwa, hakuna anayejali, ni kutumbuwa tu Kodi za raia!Easy man!
Huo ndo utendaji kazi wa taasisi zote Nchini.
Siyo mahakama, taasisi za kifedha, polisi, afya na hata za kidini ukienda huko na shida yako utaambiwa subiri usiwe na haraka swala lako linashughurikiwa haijarishi itachukua miezi, miaka na hata ikibidi milele...!
Inauma sana aiseeKufanya kazi kwa maziwa, hakuna performance review, hakuna targets, hakuna professionalism, hakuna discipline, hakuna kuwawajibishwa, hakuna anayejali, ni kutumbuwa tu Kodi za raia!
Wao bora LIENDE!
BANANA REPUBLIC AT ITS BEST!
HaaaahaaHio inabidi awape taarifa familia yake maana lolote likitokea pesa zake zitabaki mtandaoni.
Hawajakuambia ukweli, hiyo system inaenda mpaka siku 90, bila shida yoyote...Wao waliahodi ndani ya siku 30