Hutakiwi kukata tamaa wala kulaumu

Hutakiwi kukata tamaa wala kulaumu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,403
William Shakespeare aliwahi kusema kwamba "Nililia sana nilipokuwa sina Viatu lakini nilinyamaza baada ya kukuta Mtu hana Miguu"

Hivyo ndivyo ilivyo hata leo hii...Unaweza kumsimulia Mtu kitabu Kizima cha Matatizo yako halafu yeye akakupeleka kwenye Library(Maktaba) ya Matatizo yake....na huko ndipo unapokutana na Vitabu 6,278 halafu kitabu cha kwanza kufunua unakuta Matatizo yako wewe yameishia kwenye Dibaji tu (Fore words).

1744075118295.jpg
 
View attachment 3296518
Ni kweli mkuu. Kuna shemeji yangu mmoja aliniambia ukiwa na matatizo ukajifungia ndani unaweza kufa ukidhani wewe ndiye mwenye matatizo makubwa pekee, lakini ukitoka na kusikiliza matatizo ya wengine utajiona kumbe uko kwenye hali nzuri.
 
Kila nikipitia jaribu nalia sana Ili kupunguza hasira na huzun ila najisemea Kuna wengine wanapitia zaid yangu
 
Najaribu kuupitia huu uzi kila wakati ili nielewe lakini nashindwa kwa hiki nachopitia.
Anyway nitavumilia na kujikaza.
 
Najaribu kuupitia huu uzi kila wakati ili nielewe lakini nashindwa kwa hiki nachopitia.
Anyway nitavumilia na kujikaza.
Yep. Huenda uzi huu ukawa ni Tiba kwako. Usikae kimya ndani kwako i.e. usijifungie ndani, nenda huko usikie na kwa wenzio halafu pia usikie walifanyaje fanyaje kukabiliana na changamoto zilizowasibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom