Hutaki Unaacha-CCM Itapoteza majimbo yote kanda ya ziwa 2015!!!

Yule mkuu alicharaza fimbo pale kwenye shule ya Katrero, aliishia wapi angeunganishwa na lema, lakini yeye apewe pikipiki.
 
Jimbo la Kongwa kwa Ndugai 2015 lazima kieleweke kwani naendelea na elimu ya Uraia kwa ndugu zangu hawa ambao wanabadilika sasa kwa hali ya mambo yalivyo nchini juu ya utawala wa Magamba..
 
Mkuu Kagera wilaya za Ngara na Karagwe matokeo yalikuwa tata. So, nadhani Kagera ongelea zaidi Bukoba (rural & urban) pamoja na Muleba, wilaya zilizosalia zipo juu mkuu! Jimbo la Karagwe mabomu yalipigwa ili matokeo yatangazwe!
Mi nipo Bukoba, Kwenye uchaguzi uliopita Mbunge wa sasa H.S.K alimzidi Lwakatare kura almost 3500. Na Dokta Slaa alimwacha ****** more than 4000 kwa bukoba mjini tu. Karagwe Chadema mwendo mdundo matokeo ya ubunge yalikuwa na utata mkubwa sana. Sina shaka na nshomile
 
GreatThinkers,
Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua,
Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja.
Kuna makund i ya vijana yanahamasisha vijijini hadi nashangaa, mwamko huu umetoka wapi?
Sleeping Giants nani kawaamsha usingizini?
Hali ni hii kanda ya ziwa, vipi Songea tujuzeni?
bongo lala kondoa/Dodoma inahitajika nguvu mpya nako hali ikoje?
Tanga ktk uchaguzi wa udiwani CCM ilikuwa ya 3, hii nayo imekaaje?
Usihofu SPENCER, Sleeping Giants.Tumeamka semina tuliyoipata j5 ktk mkutano wa pale uwanja wa barafu,changamoto tosha.kifupi nyasi zimekauka tunasubiri kibiriti tuwashe moto.
 
GreatThinkers,
Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua,
Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja.
Kuna makund i ya vijana yanahamasisha vijijini hadi nashangaa, mwamko huu umetoka wapi?
Sleeping Giants nani kawaamsha usingizini?
Hali ni hii kanda ya ziwa, vipi Songea tujuzeni?
bongo lala kondoa/Dodoma inahitajika nguvu mpya nako hali ikoje?
Tanga ktk uchaguzi wa udiwani CCM ilikuwa ya 3, hii nayo imekaaje?

Elimu ya uraia inahitajika sana hata huku Morogoro,ndugu zetu nako huku wamejazwa ujinga kiasi kwamba uwa nachukia mpaka natamani nichapane nao vibao!
 
Kama kuna mkoa huwa unanishangaza ni KAGERA hawa jamaa ni masifa ya bure tu huku mjini wakati mkoa wao ni miongoni mwa mikoa minne masikini hapa Tz,wameikumbatia ccm ,sijui wakoje usomi wenu haujawasaidia chochote!

Usiwatukane nshomile, kumbuka JIMBO la Karagwe mabomu yalipigwa na mshindi alitaganzwa kwa mtutu wa bunduki na tangu atangazwe hajawahi kukanyaga jimboni.

Halafu BKB MJINI kumbuka Alfred Rwakatale aliwahi kuwa mbunge kupitia CUF. Tumjenge tena Rwakatare ili 2015 arudishe jimbo CDM.
 
Dodoma, Morogoro, Tanga, Lindi Mtwara na Kagera kazi kweli kweli!
 
kama kuna mkoa huwa unanishangaza ni kagera hawa jamaa ni masifa ya bure tu huku mjini wakati mkoa wao ni miongoni mwa mikoa minne masikini hapa tz,wameikumbatia ccm ,sijui wakoje usomi wenu haujawasaidia chochote!

tutake radhi kijana, unatudhalilisha wasomi wa nchi hii, tumejikita sana katika elimu kuliko siasa, ila mwaka 2015 mtajua tupo upande gani, kama una takwimu fuatilia aliyeongoza kula za urais mkoa wa kagera alikuwa nani, angalia biharamulo, fuatilia matokeo ya ngara na karagwe mpaka jimbo wameamua kuligawa, fuatilia sababu za kulgawa jimbo.
 
KANDA YA ZIWA iko juu sana, kuna msemaji mmoja aliwahi kusema kuwa hizi kura za bure magamba walizokuwa wanazoa kanda ya ziwa ipo siku zitawageuka na kuwa anguko lao.
 
Ha ha haaa,mna vituko kweli kweli.Rejao hali yenu ni mbaya sana.....
Ben, CCM ina nguvu na bado itaendelea kuwa imara. Nikiangalia upinzani naona bado hawajajipanga. Wengi wanapigania maslahi binafsi wakijaribu kuyahusisha na maslahi ya Umma.
 
Mi ni mtu wa kagera,amna siku ilo niuma na wala sitakuja kuisahau,kama cku mgombea wa ccm alivochaguliwa kua mbunge wa jimbo la ngara akiwa kalazwa india,kampeni alifanya mkewake,huyu Ruhuza ni bonge la snich yani hafai hata kua mwnyekiti wa bodi ya shule,kwa kitendo chake cha kutugeuka wanchi na kuuza kura zake kwa mgombea wa ccm,kwa bahati mbya CDM kwa uchaguz ulopita (2010)awakujishughulisha kbsa na hli jimbo,watu walikua tayari tena bila hata kuhamasishwa,walikata tamaa baada ya dr slaa kuhairisha mkutano wake,kwa upande wangu binafsi uwa najitahdi,kila niktka chuo kwnda likizo angalau niende na kadi za chadema zisizo pungua hasini,na katiba za chama kumi kwa hlo nimefauru na zote zinaisha,na watu wanabki wakidai,nafanya hvo kwa kua kipato changu ni boom,hvo najibana kwa manufaa ya nch yangu na vizazi vijavyo,ushaur wangu kwa viongozi wa Cdm naomb waniunge mkono kwenda ngara wakamsukume mlevi,kwni kwa uwezo mdgo tumejitahdi, kumlewesha.naomb ombi langu lifanyiwe kazi tafadhali,mkihtaj msaada zaid 2wacliane.0758144803.
 
Mkuu Kagera wilaya za Ngara na Karagwe matokeo yalikuwa tata. So, nadhani Kagera ongelea zaidi Bukoba (rural & urban) pamoja na Muleba, wilaya zilizosalia zipo juu mkuu! Jimbo la Karagwe mabomu yalipigwa ili matokeo yatangazwe!

Mkuu Bube, asante sana kuniondolea simanzi maana ingenishangaza kuona maprofesa wameshindwa kuwapa elimu ya uraia wala Senene na Matoke wa Kagera. Mbeya mbele ya haki ya mpiga kura, mabom ya machozi yaliwaishia polisi wakarazika kumtangaza Mr. Sugu kwa mjibu wa ushindi wake!!!
 
Msisahau Kigoma maana wao wameikataa ccm tangu 2010, tuwape support watu wa huko
 
Ben, CCM ina nguvu na bado itaendelea kuwa imara. Nikiangalia upinzani naona bado hawajajipanga. Wengi wanapigania maslahi binafsi wakijaribu kuyahusisha na maslahi ya Umma.
Hii inaitwa maiti janja, ukitaka kujuwa kama CCM ni imara muulize Mkapa kama hajakuzaba kibao!!.....
 
Back
Top Bottom