Hutaki Unaacha-CCM Itapoteza majimbo yote kanda ya ziwa 2015!!!

Elimu ya uraia iongezwe mikoa ya Pwani,Singida na Dodoma kwani wamezidi mno kuikumbatia CCM.
 
Mi ni mtu wa kagera,amna siku ilo niuma na wala sitakuja kuisahau,kama cku mgombea wa ccm alivochaguliwa kua mbunge wa jimbo la ngara akiwa kalazwa india,kampeni alifanya mkewake,huyu Ruhuza ni bonge la snich yani hafai hata kua mwnyekiti wa bodi ya shule,kwa kitendo chake cha kutugeuka wanchi na kuuza kura zake kwa mgombea wa ccm,kwa bahati mbya CDM kwa uchaguz ulopita (2010)awakujishughulisha kbsa na hli jimbo,watu walikua tayari tena bila hata kuhamasishwa,walikata tamaa baada ya dr slaa kuhairisha mkutano wake,kwa upande wangu binafsi uwa najitahdi,kila niktka chuo kwnda likizo angalau niende na kadi za chadema zisizo pungua hasini,na katiba za chama kumi kwa hlo nimefauru na zote zinaisha,na watu wanabki wakidai,nafanya hvo kwa kua kipato changu ni boom,hvo najibana kwa manufaa ya nch yangu na vizazi vijavyo,ushaur wangu kwa viongozi wa Cdm naomb waniunge mkono kwenda ngara wakamsukume mlevi,kwni kwa uwezo mdgo tumejitahdi, kumlewesha.naomb ombi langu lifanyiwe kazi tafadhali,mkihtaj msaada zaid 2wacliane.0758144803.

Kamanda ukombozi ni zaidi ya hayo uliyoyafanya, tunazidi kukupongeza kwa kufanya hivyo, endelea kuwagaia kadi zetu kadili utakavyoweza, hata hapo chuoni fanya M4C kwa ajili ya kupata pesa za kununua kadi za kutosha
 
Ndio maana Lema kapewa Chopa! na chopa inabidi lianzie sehemu ambazo bado watu wamelala fofofo kama mtera,Bahi na Mkoa wote wa tabora japokua Igunga washaanza kuamka
 
Mkoa wa morogoro ndo bd wanakomaa na ccm. Karibu miji yote ya mikoa wabunge wake ni wapinzani, isipokuwa morogoro. Mkoa wenyewe mkubwa, na hatuna hata mbunge m1. Hapa panaitaji ukombozi!
 
Back
Top Bottom