Furaha yangu haieleziki swahiba! Yaani natamani na my klorokwini wetu nae arudi ili timu itimie! Mdipu basi akuje.hujambo swahiba, huyo mkwe wangu anajishaua tu, ananilavu sana hata chakula kilikuwa hakipiti kwa kunimiss!
Furaha yangu haieleziki swahiba! Yaani natamani na my klorokwini wetu nae arudi ili timu itimie! Mdipu basi akuje.
Kwani huyu naye ni famous...!, mbona welcome back zimezidi..??
Heeeeh . . .!!!
Hivi kumbe ni kweli umerudi?
Mi nilijua ni kapasiwedi tu kamechakachuliwa!lol
Baby boy ndo mpango mzima, ukimuweka pale kwenye mataa anapiga mpaka engine za tractor ya kilimo kwanza!
BTW, Mie mzima wa afya. Karibu tena.
ahsante mpendwa, naomba azam cola ya baridi.
Furaha yangu haieleziki swahiba! Yaani natamani na my klorokwini wetu nae arudi ili timu itimie! Mdipu basi akuje.
Yan acha tu mpendwa hata sijui nini kiliwasibu swahiba zetu, natamani kweli kuwaona tena jukwaani.Umejuaje kumtaja huyu jamaa aisee akirudi itakuwa poa sana umemsahau na @uporoto timu ikamilike
Hehehehehe! Ahsante kwa ufyagio figganigga! Mwaaaaaaah!
Hunifikii mimi swahiba, yani nahisi siku klorokwini akitokea humu ntazimia kwa furaha.mi hapa naugua kwa kumkosa klorokwini. natamani alijue hili.
Yan acha tu mpendwa hata sijui nini kiliwasibu swahiba zetu, natamani kweli kuwaona tena jukwaani.
Thanks a lot ! miawoow!!...mmwaaaah!. mia
Daah! klorokwini na uporoto01 popote mlipo tumewamiss mnooo wapendwa! Piteni mseme japo neno moja tu na roho zetu zitatulia!Acha tu sijui wako wapi hata radiocall hakuna mawasiliano
Acha tu sijui wako wapi hata radiocall hakuna mawasiliano
Furaha yangu haieleziki swahiba! Yaani natamani na my klorokwini wetu nae arudi ili timu itimie! Mdipu basi akuje.
Umeonae? Inarudi ile timu yetu ya zamani, raha tupu lolkweli aisee. furaha yangu ya jf isharudi. wapo uporoto01 na klorokwini? mia