Hussein Tuwa vs Eric Shigongo (Riwaya)


Riwaya ya Mtuhumiwa pale awali ilisimuliwa kwenye Gazeti la "KIU"

Kwa mujibu wa Tuwa mwenyewe kwenye Gazeti ilibidi akatishe sana na kupunguza matukio mengi sana ili tu kumaliza haraka.
Nje ya hapo Riwaya hii haijawahi kuchapishwa popote pale.

Kamata nakala yako Mkuu
 

Yaani nimekuelewa hata kabla hujamqlizia, na ulipomalizia ndo nikaunderstand vibaya sana, thanx mkuu..
On my way to dukani..
 

Shukrani kwa ufafanuzi mjomba, ntachukua nakala yangu kabla hazujaisha kama vile vitabu vya mwanzo.
 
Jamani eeeh..ebu tupeni ramani na sisi ka wadau wanaofahamu ni wapi tutavipata vitabu ivyo?? msaaa pleaseee
 
Jamani eeeh..ebu tupeni ramani na sisi ka wadau wanaofahamu ni wapi tutavipata vitabu ivyo?? msaaa pleaseee

haya chukua namba ya zamira ndio muuzaji wa hivyo vitabu pale dukani konani kinondoni biafla
0655428085 hata kama upo mkoani wanakuletea
 
chambuso mwana malambi jee??

kitu mdunguaji unakutana na vampire

Vampire, sword fish, Black mamba... Kapten Gaudence Amani... Umenikumbusha mbali sana mkuu. Hakika Hussein Tuwa ni bonge la mwandishi. Wadau tafuteni copy ya mdunguaji mtadhihirisha wenyewe ubora wa gwiji Hussein Issa Tuwa
 
chambuso mwana malambi jee??

kitu mdunguaji unakutana na vampire
Nilifikiri ni Chambuso Mwagala.
Code-name Vampire ni hatari ingine.
Blood Diamond ndio mkasa wenyewe
 

sijui kama nimekuelewa, kwamba ndio mara ya kwanza anakitoa kwenye kitabu?

mbona nimewahi kuona kitabu cha mtuhumiwa kabla ya hiki kipya
 
Ukitaka kujua kua H.Tuwa ni mkali kuliko Shingongo, jamaa anaelezea mpaka inafika wakati unahisi unatazama movie vile,
Kama utaweza kuona vyema ebu soma page hii ninayo attach hapa, alafu useme kama huoni movie vile!
 

Attachments

  • 1450881606061.jpg
    67.1 KB · Views: 206
HUSSEIN ISSA TUWA huwezi kumlinganisha na boya Shigongo.
miaka ya kina cliff na kazeem,my dead body in my own coffn nilivutiwa kaz za shigongo.lakin baada ya kusoma kaz zake nyingi nikamgundua kuwa ni tapeli hana ubunifu mpya,kazi zake zinatabirika kama sinema za bongo na anarudia story akibadili majina,pia ana tabia ya kujaza kingereza na tafsiri zake ili kujaza peji hata kama tukio linafanyika bongo na linafanywa na wabongo.utafiti pekee anaofanya shigongo ni kutaja majina tu ya madawa ya hospitali akigusia huko.
hadithi yake ya mwaka 2000 unaweza kuipata Leo katika jina jipya na wahusika wapya.lakin content ile ile.kifupi naweza kumsema sana tu huyu mzinguaji.
Lakin huseni issa Tuwa yuko fresh.kwenye list yangu yeye ni wa tatu baada ya Ben mtobwa na Elvis musiba.na sio kwamba ameandika kazi chache.juz kati tu hapa alikuwa mlimani city anasain copy zinazouzwa za kitabu chake.kwa ambae hamjui huyu jamaa atafute hiz kazi.
MKIMBIZI
MDUNGUAJI
UTATA WA9/12
MFADHILI
BONDIA
MISS TANZANIA

Hutazilinganisha kamwe na
SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU
RAIS ANAMPENDA MKE WANGU
SIRI ILIYOTESA MAISHA YANGU
DAMU,BUSU NA MACHOZI
KIFO NI HAKI YANGU.
Shigongo anakaa kwa tuwa!
 
Seriously utamfananisha shigongo na tuwa???? Hussein Tuwa ni noma sana
 
Unaanzaje hata kufikiria kumfananisha nguli wa riwaya za taharuki na mchimba chumvi Shigongo kwa mfano!!!!?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…