Robby Morro ni mdada anaejitambu hawezi beba sembe yule! Yupo vizuri upstair na isitoshe ukiachana na ulimbwende aliojaaliwa nao, kipindi anaanza biashara alikuwa muajiriwa katika taasisi moja ya fedha hapo mjini na ndiko alipata mtaji wa biashara zake!
Ndiyo maana nasisitiza hapa, kuna watu wametoil kitambo wamejipanga wakapangika hivyo acheni kutumbua mimacho yenu ya husda pindi waamuapo kutumia pesa zao hadharani!
Umesoma vzr thread yangu huyo robby marro nimemtaja wapi.?? Kwanza ndio nani ndio namsikia leo mimi nimemtaja ROBBY ONE FASHION jina halisi ni robert i think huyu ni kijana mdgo wa KIUME ana maduka kadhaa dar es salaam je we ni mkazi wa dar km humjui basi huishi dar...next tym usikurupuke
We kweli tofali mbona unajifanya kuwajua sana vijana wa mjini wanaojituma??
Jitahidi na wewe one day tusikie TOFALI SUPER FASHION... usipojipanga hapo mjini utaishia kufukunyua "habari -----" za vijana wenzio waliofanikiwa!!
Nimekudharau sana tofali kama jinsi walivyokudharau Makomandoo wa JWTZ kwa kukuvunja kwa kichwa na nakoz!
We ---- kweli unavamia gari kwa mbele unaulizwa Robby marro ndio nani unajibu nyoko nyoko..km una washwa tafuta mti wa kukukuna usiku huu .mxiuuuu umejigundua umevamia usichokielewa ndio mana unashoboka km shombo ht mm nazijua tako wewe
Hovyooooo huyo robby marro ndio basha wako nini anayekuweka mjini..kwanza usitake kumuingiza mdada wa watu ambaye ht hajatajwa kwa thread....
naskia robby na yule mtangazaji wa xxxl ni chakula cha watu
We ---- kweli unavamia gari kwa mbele unaulizwa Robby marro ndio nani unajibu nyoko nyoko..km una washwa tafuta mti wa kukukuna usiku huu .mxiuuuu umejigundua umevamia usichokielewa ndio mana unashoboka km shombo ht mm nazijua tako wewe
Hovyooooo huyo robby marro ndio basha wako nini anayekuweka mjini..kwanza usitake kumuingiza mdada wa watu ambaye ht hajatajwa kwa thread... Savimbi Jr kwani huyu mtu vipi katokea wapi
Hakuna asiejua kazi yake ni unga, anakaa pale nyuma ya shule ya karume Muembe chai ukipita ipo ile range yake nje maeneo ya makaburini.
Duh! Inawezekana au la
Maana % 60 ya madada wanaomiliki maduka ya nguo kinondoni wengi wao ni mapunda na wanatumika kupeleka ngada china, na kuna wengine wanatumia mtaji yao wenyewe.
Siku zote huwa nasema Hata kama hapa tanzania utalindwa lkn iko siku huko nje utanasa tu kukamatwa na kufungwa.
Mfano fatma mchina dem wa tevez alikuwa na duka pale konondoni....Ila alienda Italy na huko wamemdaka na yuko ndani!
Narudia tena % 60 ya maduka ya nguo yanayomilikiwa na wadada na wamama wote ni wabebaji unga au wanajihusisha na ngada
Na wengi wao wamekulaa vitungu china, Brazil, south afrika etc
Ovaaaa
Habari wadau,
Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.
Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
Wewe utakuwa umeporwa demu na huyo Hussein maana unachoandika hapa ni wivu tu wa kike.Unataka kuniambia TISS hawajui Anachokifanya Huyo HPK? Maeneo ya Ekenywa ghorofani hahahaaa,Ngada inamaliza sana nguvu kazi ya taifa serikali itumbue majipu haya ya watu wanaoua nguvu kazi,HPK kamvua mtu uwanja near Tegeta Complex kapiga Duka la Kufa mtu,ukiangalia investment aliyoifanya na pamba alizoweka mle dukani ukipiga return yake ni vichekesho,kweli jamaa amejivika mwamvuli wa muuza pamba.
Kakamatwa huko buruda Italy, kuna wakati huyo dem alikuwa anaenda sana kwa Pele alipiga trip kama 4 hivi alikuwa ana buruzaaaa mzgo na kuja nao bongo.Haaaa,kumbe huyu dem naye wamemkamata wataliano,ndio maana sioni post zake fb na insta,kumbe hii ndiyo sababu!!!!
Naskia robby na yule mtangazaji wa xxxl ni chakula cha watu
Hujui tu ila binafsi naamini hakuna biashara nzuri kama ya nguo hasa ukipata location nzuri,,wengi wanazarau hii biashara lakini mimi sitaiacha.