Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Mkwe !
Shkamoo !
Nakuomba samahani , kwa hilo , kwani changamoto za hadi kufika hapo hazikua nyepesi kwangu.
Naomba uondoe sintofahamu yoyote juu yangu, na kwa vile nilikua sijakaa na mwanao vya kutosha tukapata muda wa mie kutambulishwa familia yako.
Above all ningekuomba ubariki proposal hii kwani hapa kuna mijitu husda , kuna Wavimbamacho, wapo Wapulizamoto , Vizabizabizana , Wanafik , Mashabik-maandazi , Walambandimu N.k N.k .
Nasubiri tamko lako la ubarikio
Proposal ishakataliwa ndo unaomc radh? Umeonesha dharau kubwa sana kwa Mlez wa Husninyo. Haufai.