sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
sherehe gani?
Khaaa, tena?
sherehe gani?
Ina maana unataka kusema kuwa Mtei analeta fitina kwa sababu ya wivu?hv ww bado mjane tu mpaka leo?
Hujaacha majungu.com eeh? Haya toka lini ndugu wa damu wakaachana?... Tindikali itakuhusu lazima!..Duh kweli hamuachani....
Mambo Rejao!
Salamu zangu ulipata toka kwa mkeo?
Duh kweli hamuachani....
Mambo Rejao!
Salamu zangu ulipata toka kwa mkeo?
Hahahaaaa kwani hapa si tunataka haki ya Uporoto kutemwa iwepo....apate haki yake sio eti kisa ni Mfupi km andunje ndo anyanyapaliwe....
Km mnataka mleteni Kabakabana aseme km bado yuko na Uporoto nasi ndo tutakubali Husny na Judgement waendelee...
Na mimi na Amyner ndo tutakuwa wasimamizi....tutapendezaje....!
Hapo sasa!Mmh wewe..! Ulikuwa unafanya nini mke wa Rejao? Utatolewa macho, humjui Rejao ....
Ina maana unataka kusema kuwa Mtei analeta fitina kwa sababu ya wivu?
Yan na yeye anamtaka Husny?
Mh hapo mi simooooo!
Heheheeee mbona kaa mnafanana vitabia?Mimi hapana swahiba, labda Husninyo...
Atakuja tu....ila acha tabia za kumisss wake za watu...Yuko wapi Amyner? Nimemmiss kchzi.
Khaaa, tena?
Atakuja tu....ila acha tabia za kumisss wake za watu...
Utaumia....teh
Halafu kumbe unamzengea Husny ndo maana unapiga majungu wasioane?
My waif,
Umefika humu saa ngapi? mi nipo nakusubiria utoke kanisani kumbe tayari ushatia maguu humu!
Salamu zilifika...Duh kweli hamuachani....
Mambo Rejao!
Salamu zangu ulipata toka kwa mkeo?
Erick huyo Husny ni kaz yangu ya nje toka long.
Huwa napga ndondo mara nyng so akiolewa na JG ctakuwa nampata kirahsi.
Wakat yupo na Uporoto alikuwa anapata mda wa kuja kupga outwork
Am sorry darling,husni alinipigia kapata mume alafu kuna wenye vijiba vyoro wanataka kumtilia fitna humu,ok nambie mme wangu ungependa kula kitumbua au sambusa?
Hapana Katavi...Mmh wewe..! Ulikuwa unafanya nini mke wa Rejao? Utatolewa macho, humjui Rejao ....
Kula kitumbua siyo option tena ma dia...Halafu nina hamu sanaaaAm sorry darling,husni alinipigia kapata mume alafu kuna wenye vijiba vyoro wanataka kumtilia fitna humu,ok nambie mme wangu ungependa kula kitumbua au sambusa?
Salamu zilifika...
Ndio nimeingia humu naona mmechangamka sana.....
Tehe tehe tehe....nimepata sababu ya kupiga majungu!