Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....

aunty, mapenzi yalimuelemea judge akashindwa kuvumilia hadi urudi. Nimeshampa utaratibu mzima wa kunichumbia. Lol.
 
Kwa hakika nimerudi kwenye Uzi , kwanza nitamke neno maalum la shukrani :
"A S A N T E HUSNY "
" A S A N T E MEMBERS WOTE MLIONIUNGA MKONO"
Haikua rahisi kwangu kujilipua kwa Mrembo huyu, hivihivi.
Na sikutegemea kama ninge' Qualify kwa marks za juu.
Hivi muda mchache ujao nataraji kuitisha kikao cha dharura na wadau wenza, kujadili mipango rasmi ya harusi.
Kwa kikao hicho tu cha dharura nimeshakitengea Ng'ombe wawili , na Vinywaji.
Na angalizo kwa wale wote waliokua wakimtolea mimacho kipusa huyu, ndiyo wamekula huu !
Wajipange kivingine , Husny ndiyo huyoo keshapata mwenza.
Nitarudi tena hapa baadae , lakini kabla sijatoka , niseme hivi , kesho naenda kwa Sonara kuwekesha oder ya Mkufu maalumu kwa ajili yako, Husninyo hebu tamka pale kwenye kidani nimwambie Sonara akuwekee herufu gani ? initial aweke "H" au " J " ?
Sema Babby
Sema Swittiy
Sema wasikie !
 
Poleni wazazi wa kizazi hiki cha dot com

mwali naye yamempata huko
SI, kaondoka, mtafutieni hata mme wa kukodi.

Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....
 
Kwa hakika nimerudi kwenye Uzi , kwanza nitamke neno maalum la shukrani :
"A S A N T E HUSNY "
" A S A N T E MEMBERS WOTE MLIONIUNGA MKONO"
Haikua rahisi kwangu kujilipua kwa Mrembo huyu, hivihivi.
Na sikutegemea kama ninge' Qualify kwa marks za juu.
Hivi muda mchache ujao nataraji kuitisha kikao cha dharura na wadau wenza, kujadili mipango rasmi ya harusi.
Kwa kikao hicho tu cha dharura nimeshakitengea Ng'ombe wawili , na Vinywaji.
Na angalizo kwa wale wote waliokua wakimtolea mimacho kipusa huyu, ndiyo wamekula huu !
Wajipange kivingine , Husny ndiyo huyoo keshapata mwenza.
Nitarudi tena hapa baadae , lakini kabla sijatoka , niseme hivi , kesho naenda kwa Sonara kuwekesha oder ya Mkufu maalumu kwa ajili yako, Husninyo hebu tamka pale kwenye kidani nimwambie Sonara akuwekee herufu gani ? initial aweke "H" au " J " ?
Sema Babby
Sema Swittiy
Sema wasikie !

ooh mpenzi, kwa sababu H=J na J=H naona uweke tu J ila wapambe nuksi wazidi kuumia. Halafu mwombe aunt msamaha kabla hajamwambia uncle. ujafata utaratibu mzuri wa kuchumbia
 
Haikua rahisi kwangu kujilipua kwa Mrembo huyu, hivihivi.
Na sikutegemea kama ninge' Qualify kwa marks za juu.
Hivi hujui mumewe wa zamani(UPOROTO) hajatoa tamko rasmi la kuachana na Husny so angalia asijeleta Pingamizi wakati wa ndoa yenu....we fanya maandalizi tu then ile kwako...huu bado mke wa mtu ujue...shauri yako
 
Back
Top Bottom