Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Hehehe!

Pole x shemeji, uliondoka bila kuaga ndio mana yamekukuta haya... Kwa huruma ntamshauri swahiba uwe kidumu tu na si zaidi ya hapo!

kwele leo nimeamini, chelea mwana.. Dah! hadi nausahau msemo wenyewe.
 
@ Erickb52 umeona kuna mtu hapo anakuita mwita25???
Nimemwona ila si kosa lake....we si unamwona kajiunga lini?
Ina maana alikula bann akaja na ID mpya....mwambie mimi Ban kwangu mwiko na haitatokea....
Yeye aangalie Join Date atajiona 000
 
waambie

kama ni maneno
hata kwenye keki yapo
na tunayala vile vile.

Majungu kama haya ya 52 hayanikwazi ! Kama nyie hata kwetu wapo wengi kuzidi kwenu ,
alafu ukisikia "hakuna masika yasiokua na Mbu" basi Mbu ndiyo kama nyie !
Mbu chezea Chandarua weye ?
 
ahsante sana sisty, natoka na shemeji yako. Hakikisha watu hawafanyi fujo hapa. Halafu waambie mabaunsa wawatoe nje erick na mtei.
Luv u sist.

Lov u too sisy,ucjali hawa watatolewa nje soon maana naona hawana nia njema humu ndani,kapumzeken kwanza ukapozwe machungu ya uporoto lol!mpe hi shem wetu mpya jg!
 
Hehehe,mie nikiwa mmoja wa ndugu wa kiken nimekubaliana na uhusiano huu,na huyo uporoto atajibeba kwan ni zamu ya husni kuenjoy na mwanaume wa ukweli,na tutahakikisha ndoa inafungwa husni na jg lol!

Nyie c ndo walewale mapepe mliochangia kuharbu ndoa yake na Uporoto ksha mka m kuwadia kwa JG.
 
Awapi tuko bankok huku hakuna airtel wala tigo ndio maana,alafu ww mbona unatia fitna sn kwa husni kuopoa mume mpya?acha hizo bana!mbona uporoto alipomtoke kabakabana hamkurema?
Hahahaaaa kwani hapa si tunataka haki ya Uporoto kutemwa iwepo....apate haki yake sio eti kisa ni Mfupi km andunje ndo anyanyapaliwe....
Km mnataka mleteni Kabakabana aseme km bado yuko na Uporoto nasi ndo tutakubali Husny na Judgement waendelee...
Na mimi na Amyner ndo tutakuwa wasimamizi....tutapendezaje....!
 
Hata mshipa haunigongi !
Wala issue yako haipelekei nikameza Panadol, kwani najua kwenye mikusanyiko ya watu hua hapakosekani Nzi! Japo wawili wa3 !

Utakuja kujuta nakwambia. Unavamia msitu kwa kiwembe?
 
Hahahaaaa kwani hapa si tunataka haki ya Uporoto kutemwa iwepo....apate haki yake sio eti kisa ni Mfupi km andunje ndo anyanyapaliwe....
Km mnataka mleteni Kabakabana aseme km bado yuko na Uporoto nasi ndo tutakubali Husny na Judgement waendelee...
Na mimi na Amyner ndo tutakuwa wasimamizi....tutapendezaje....!

Amyner huyuhuyu? Loh!
 
ahsante sana sisty, natoka na shemeji yako. Hakikisha watu hawafanyi fujo hapa. Halafu waambie mabaunsa wawatoe nje erick na mtei.
Luv u sist.
Teh nendeni tu ila humu sisi HATUTOKI hadi kieleweke....hata kuiba pete tutaiba
 
Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....

Mkwe !
Shkamoo !
Nakuomba samahani , kwa hilo , kwani changamoto za hadi kufika hapo hazikua nyepesi kwangu.
Naomba uondoe sintofahamu yoyote juu yangu, na kwa vile nilikua sijakaa na mwanao vya kutosha tukapata muda wa mie kutambulishwa familia yako.
Above all ningekuomba ubariki proposal hii kwani hapa kuna mijitu husda , kuna Wavimbamacho, wapo Wapulizamoto , Vizabizabizana , Wanafik , Mashabik-maandazi , Walambandimu N.k N.k .
Nasubiri tamko lako la ubarikio
 
Mie sijivungi
kama boda boda, nikiona hawaji nawasaka mwenyewe.

Huyu Ricky atamwagiwa tindikali muda si mrefu.

Hebu lifanye hilo mapema maana naona wanataka kuharibu hali ya hewa na roho zao za kwann ebo!
 
Lov u too sisy,ucjali hawa watatolewa nje soon maana naona hawana nia njema humu ndani,kapumzeken kwanza ukapozwe machungu ya uporoto lol!mpe hi shem wetu mpya jg!

Utaanza kutoka humu mwenyewe. Mda c mrefu aibu itakupata.
 
Back
Top Bottom