Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
hivi siku hizi mwolewaji hupokea posa yake mwenyewe?
wakiwezeshwa wanaweza hadi kupokea mahari zao.
umeona eeh! Halafu huyu mtei 1 na erick mbona wanawanga mchana!!
hivi siku hizi mwolewaji hupokea posa yake mwenyewe?
wakiwezeshwa wanaweza hadi kupokea mahari zao.
Mwanamke pozi...sasa wewe kusikia tu umekubali haraka hivyo....lol
Ndo mana Uporoto kakukimbia.....
Jishaue basi hata kidogo Husny
Mimi hapana swahiba, labda Husninyo...
Hahahaaa ila wewe huna tatizo....mziki ni Kabakabana na Husninyo....Walah hapa ntalazimika kureport abuse, khaaa kongosho wewe mwenyewe wajua mie ni mtulivu, sitangi tangi hovyo!
Pole yake uporoto,alisahau mabint wote tuliopitia twishen za ashadii soko letu halina mipaka!kwa raha zako mwaya ujane mchezo!niko na shemeji yako papa rejao nakupongeza sn!
Bora waje wajionee wenyewe na km wanakubali wakubali kwa mioyo yao yote
Hahahaaa ila wewe huna tatizo....mziki ni Kabakabana na Husninyo....
Kwanza Kaby akija hapa akakuta Husny yuko in love na Judgement lazma nayeye atamtaka Judgement na lazma atamchukua km alivyofanya kwa Uporoto hadi wakaachana na Husninyo
Teh mlete kwanza short guy aseme ukweli wa penzi lenu kwanza then itakuwa free kuendelea na maandaliziumeona eeh! Halafu huyu mtei 1 na erick mbona wanawanga mchana!!
Teh tatizo kwenye mtoko ndo shughuli kuandamana....Yan utadhani Husny yuko na katoto kake....
Amy hajambo kabisa anamalizia usafi then atajumuika nasi muda si mrefu....
Ulikuwa honeymoon Loliondo au maana wote hamkuwa mnapatikana hewani
ahsante sana sisty, natoka na shemeji yako. Hakikisha watu hawafanyi fujo hapa. Halafu waambie mabaunsa wawatoe nje erick na mtei.
Luv u sist.
Hahahaaa ila hawa ni kwa wanawake....tutafanya na kwa wanaume tujue ni nani the pepeziWote mi mapepe plus
umeona eeh! Halafu huyu mtei 1 na erick mbona wanawanga mchana!!
Hahahaaa ila hawa ni kwa wanawake....tutafanya na kwa wanaume tujue ni nani the pepezi
Umechemsha!Mwita25 naona umeibuka kivingine
Love you baby... Mwaaaaaaaaahhhhh!!
tayari nimewasiliana na UPOROTO pa1 nd ndugu wengne wa kikeni.
Couple yao ni ya kihuni hvyo haitambuliki.
LolMajungu kama haya ya 52 hayanikwazi ! Kama nyie hata kwetu wapo wengi kuzidi kwenu ,
alafu ukisikia "hakuna masika yasiokua na Mbu" basi Mbu ndiyo kama nyie !
Mbu chezea Chandarua weye ?
Yaani wewe na husninyo mmekuwa daladala? Au mpira wa kona?
Umeona eeeh na hawakuambii ukweli juu ya Husny...mimi nakusaidia JudgementMimi hapana swahiba, labda Husninyo...
Husninyo ucwe unasahau kuja kwangu kama kawa. C unajua jnc ndondo inalipa. Nakukubal sana kwa out work aka ndondo.
Hehehe,hapo ndio unanifurahishaga,lzm utakua kwa bepari lol!hv hawa akina eric na mteo mbona km wanatia fitna kwa husni na judgement jaman!