Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

hivi siku hizi mwolewaji hupokea posa yake mwenyewe?

wakiwezeshwa wanaweza hadi kupokea mahari zao.
aunty, mapenzi yalimuelemea judge akashindwa kuvumilia hadi urudi. Nimeshampa utaratibu mzima wa kunichumbia. Lol.
 
Afu wewe
Rejao unamnyima chakula?
Mbona anazidi kukonda tu kiuno??

Hehehe!vitambi havikubali kwangu!cha msingi ni ile pua kunenepa tu na kuendelea kunipa raha!papa rejao mme wangu anakupa hi nyingi bado anatafuna kitumbua chake kwa raha zake lol!odm hajambo?
 
Hakikisha proposal inafutwa
Hii Proposal itafutwa kwa kuwa Husny bado hajaachana na Uporoto na hakuna taraka toka kwa Uporoto so lazma jamaa aje kuipinga ndoa hii....
we usijali mwambie na Ashadii hakieleweki kitu hapa
 
Hizi propasol zinazotolewa bila ruhusa kwanza kwa walezi hizi.... Kufanikiwa kwake ni kudogo saana....
Ashadii unajua Uporoto hajampa Husny talaka?
Bado anatambulika km mumewe wa ndoa kwa hiyo hapa hii ndoa haitafanikiwa ng'oooo
kwanza ngoja nikamtafute aje faster maana namwona Judgement eti keshaandaa ng'ombe na mengineyo....
 
Hehehe!vitambi havikubali kwangu!cha msingi ni ile pua kunenepa tu na kuendelea kunipa raha!papa rejao mme wangu anakupa hi nyingi bado anatafuna kitumbua chake kwa raha zake lol!odm hajambo?
Hahahahaaa Mama Kipua.....Hujambo? Habari za siku nyingiiiiii
 
hahahaha! Ahsante sisty, mwenzio nimenusurika kuwa mjane. Lol

Pole yake uporoto,alisahau mabint wote tuliopitia twishen za ashadii soko letu halina mipaka!kwa raha zako mwaya ujane mchezo!niko na shemeji yako papa rejao nakupongeza sn!
 
Hii Proposal itafutwa kwa kuwa Husny bado hajaachana na Uporoto na hakuna taraka toka kwa Uporoto so lazma jamaa aje kuipinga ndoa hii....
we usijali mwambie na Ashadii hakieleweki kitu hapa

tayari nimewasiliana na UPOROTO pa1 nd ndugu wengne wa kikeni.
Couple yao ni ya kihuni hvyo haitambuliki.
 
Kweli Ricky una bifu na Husyn
alikunyima nini jamani?

Unabana sana.

Hivi hujui mumewe wa zamani(UPOROTO) hajatoa tamko rasmi la kuachana na Husny so angalia asijeleta Pingamizi wakati wa ndoa yenu....we fanya maandalizi tu then ile kwako...huu bado mke wa mtu ujue...shauri yako
 
ODM yuko bize anakagua wajukuu wapya
anarudi weekend hii

niko kwa mme mkubwa, ananibembeleza hadi raha.

Hehehe!vitambi havikubali kwangu!cha msingi ni ile pua kunenepa tu na kuendelea kunipa raha!papa rejao mme wangu anakupa hi nyingi bado anatafuna kitumbua chake kwa raha zake lol!odm hajambo?
 
Kweli Ricky una bifu na Husyn
alikunyima nini jamani?

Unabana sana.
Hapana Konny....nataka haki itendeke ili baadae pasiwepo malalamiko....nataka na Uporoto aridhie kabisa ili km tunazigonga ndovu tuwe huru
 
tayari nimewasiliana na UPOROTO pa1 nd ndugu wengne wa kikeni.
Couple yao ni ya kihuni hvyo haitambuliki.
Bora waje wajionee wenyewe na km wanakubali wakubali kwa mioyo yao yote
 
Hehehe!cjambo sn swaiba,ile pua ndio ugonjwa wangu atiii!vp Amy hajambo jaman!mie rejao wangu yuko poa kbs!
Amy hajambo kabisa anamalizia usafi then atajumuika nasi muda si mrefu....
Ulikuwa honeymoon Loliondo au maana wote hamkuwa mnapatikana hewani
 
ODM yuko bize anakagua wajukuu wapya
anarudi weekend hii

niko kwa mme mkubwa, ananibembeleza hadi raha.

Hehehe,hapo ndio unanifurahishaga,lzm utakua kwa bepari lol!hv hawa akina eric na mteo mbona km wanatia fitna kwa husni na judgement jaman!
 
Back
Top Bottom