Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Amyner ndo ananiambia hapa kuwa kumbe Erick ni mlinzi wa nyumba ya dad wake amy kule Arusha. Duh!
Weka himaya madhubuti kaka hawa raia sio wazuri kabisa, halafu inabidi umpige biti Amyner aache kujilengesha kwao
Amyner ndo ananiambia hapa kuwa kumbe Erick ni mlinzi wa nyumba ya dad wake amy kule Arusha. Duh!
Nimekusoma mkuu na naahidi kuichangia ingawa nimeoteza contact za kuchangia km vipi niforwadie kwenye PMMkumbuke kuchangia JF pia msijaze server tu wekeni nia ya kuchangia walau buku kumi wiki ijayo ameen,wale vijana wa Manzese waliimba 'starehe gharama'.Naongea na nyinyi Mtei,erick, nitonye,bagah na sweetlady wenu.
Hahahaaaaaaa imeshakula kwako....too lateAmyner ndo ananiambia hapa kuwa kumbe Erick ni mlinzi wa nyumba ya dad wake amy kule Arusha. Duh!
Dogo mi nalala maana naona wife anahitaji huduma hapa...hahahaaaaaaa see you kesho....eboh!...ni mmasai nn?LOL..mwambie kama bado anaipenda iyo kazi,atulie!
We chalii mi naumzika....kesho mkinichokoza nawa popo B....mkomeAmyner ndo ananiambia hapa kuwa kumbe Erick ni mlinzi wa nyumba ya dad wake amy kule Arusha. Duh!
Dogo mi nalala maana naona wife anahitaji huduma hapa...hahahaaaaaaa see you kesho....
Dogo acha fiksi ungechangia hata buku kumi ungehamishiwa premium,we lazima una namba ya tigo maneno mengiii!Mimi mchangiaji mzur wa JF. nichek ktk ile pcha ya wana JF walokuwa ktk mcba wa Regia pale Karimjee.
Dogo acha fiksi ungechangia hata buku kumi ungehamishiwa premium,we lazima una namba ya tigo maneno mengiii!
i love you canta lile pochi jekundu ntakuletea kesho
Heeheee heee!Wasiliana na Cantalisia. Ye ndo mwenyekt wa kamat ya burudani.
Heeheee heee!
Asante sana afisa habari,
Mzima ww?
Hahah hahah,Hii shuhuli tusipokuwa makini itaharibika. Cantalisia ana ka ujauzito halaf anapewa uwenyekiti?. Je akijakupatwa na kichef chef cha ghafla akamtemea mate bihalusi?
Ww loya vp,mbona uliotutaja wote wake za watu?Hili sredi ukiondoka sekunde tu ukilejea imekula kwako.
Enhee nani mwengine kanidondokea baada ya kabanakabana, cantalisia na sweetlady? endeleeni kufunguka wadada, mkiwezeshwa mnaweza tu
Mie mzima kbs,mi mzima sana. Unajckiaje na hali?
Mie mzima kbs,
Nasikia dar mvua inanyesha sana?
Huku sie bado usiku sana!
Ok,ngoja sie tulale lale kidogo,mi mwenyewe bado mgeni maeneo hayo
Ok,ngoja sie tulale lale kidogo,
Rejao anataka kula kitumbua,hajala tangua alfajiri nilipompa cha asubuhi!!!