Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

...akuchuke weye walau ukapate misamiati michache ya kuzungumza na bi dada amy...maana iyo mama anapaa nairobi siku si nyingi...sasa akirudi,aibu yako braza!
Hahahaaaa hamuishiwi maneno eeeh
 
Unaweza ukasema ni walevi kumbe Amyner tayari ameshaangukia mikononi mwao
Hivi hujasoma comment ya Amy hapo juu????
Ngoja nikupe kwa hapa chini
Yan shem unafikiri hawa Bagah na Mtei wananiweza mimi?
Bado watoto wadogo kwa kila kitu labda umri tu....Mimi sioni mwingine kama Erick..nampenda yeye tu na Sitamuacha kamwe...I love you my dia Erick....
Mwaaaaaaaah
 
Mkumbuke kuchangia JF pia msijaze server tu wekeni nia ya kuchangia walau buku kumi wiki ijayo ameen,wale vijana wa Manzese waliimba 'starehe gharama'.Naongea na nyinyi Mtei,erick, nitonye,bagah na sweetlady wenu.
 
Amyner kanambia nipumzke sasa. .twaenda home kwangu sasa. Amechuku likzo icyo na malpo kazni kwake. Kesho jion ntaanza maandalz ya safari ya kumpeleka Nairobi kwa ajili ya full body check up.. Namfanyia shoping ya maana
 
Kweli nimeamini mwanaume wa siku hizi umbeya kazi kusutwa inaanza kuwa suna

Weka himaya madhubuti kaka hawa raia sio wazuri kabisa, halafu inabidi umpige biti Amyner aache kujilengesha kwao
 
Mkumbuke kuchangia JF pia msijaze server tu wekeni nia ya kuchangia walau buku kumi wiki ijayo ameen,wale vijana wa Manzese waliimba 'starehe gharama'.Naongea na nyinyi Mtei,erick, nitonye,bagah na sweetlady wenu.

Mimi mchangiaji mzur wa JF. nichek ktk ile pcha ya wana JF walokuwa ktk mcba wa Regia pale Karimjee.
 
Hawa nishagundua nyundo haiwatoshi....dawa yao Popobawa...hivi hujamuona mahali kokote aje awashughulikie faster?

Hicho cheo kastaafu alitaka kuniachia mimi nikakataa yaani ingekuwa powa
 
Back
Top Bottom