Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Hahaha hahha,
Mwanakwetu mambo mengine hayafai kuwekwa hadharan jaman lol!
Mzima lkn?bado tuko hane muni!

duh....nahisi huo mpua una siri kubwa sana, mkitoka hani muni nitaomba walau uninong'oneze.... lolz!!! Btw, mi mzima kabisa, sijui wewe? ....msalimie dingi yenu!!
 
duh....nahisi huo mpua una siri kubwa sana, mkitoka hani muni nitaomba walau uninong'oneze.... lolz!!! Btw, mi mzima kabisa, sijui wewe? ....msalimie dingi yenu!!
Yani ww acha tu ndugu yangu,usijali mie na ww tena nitakung'ata sikio mwaya,
Mie mzima kbs,salam zimefika mamito!
 
Yani ww acha tu ndugu yangu,usijali mie na ww tena nitakung'ata sikio mwaya,
Mie mzima kbs,salam zimefika mamito!
Yan huko kung'atana masikio ndo sikutaki....
Ntaenda kusema kwa kaka...kusema kwa kaka....
 
Husninyo amekubali au maana siredi ndefu mno mpaka kupitia yote nimeshindwa
 
Ungejua ni kitendea kazi!!!
Naitunza sana pua hii lol!
Duh nilkuwa nafuatilia maongezi yenu ila hili la kutumia PUA kama kitendea kazi limenishtua....
Ina maana Rejao huwa anatumia ile pua yake badala ya nanii yenyewe?
mh hii mpya Canta
 
Hahah hahah,
Habari yako binafsi loya,
Usijali siku hiyo nitavaa helement litazuia kutapika lol!

Hii Harusi mbona VINA , vinaanza kujiseti mapema hivi ? Angalia ! Utavaa HELMENT kwny harusi ya JUDGEMENT ! waalikwa walio wagonjwa mda huu waanze kupata TREATMENT ! wasije ugua siku ya shughl wakamiss ENJOYMENT ! maharusi hatukujuana leo wala jana, bali tulikua CLASSMENT !
Aisey mambo ya vina hayo! Tena vina vya kidhungu!
Hatariii hatarii
kuna watu wameninunia YAANI IVII - IVII -IVII....
 
Duh nilkuwa nafuatilia maongezi yenu ila hili la kutumia PUA kama kitendea kazi limenishtua....
Ina maana Rejao huwa anatumia ile pua yake badala ya nanii yenyewe?
mh hii mpya Canta
Hizi ni siri ya chumbani ni marufuku kuongelewa kibarazani atii,

Ww hebu mtafute Amy bana huoni hali ya hewa ilivo?
 
Mi nahakikisha haibiwi mtu maana Kipipi anaweza kufanyia mpango wa Small Rejao....Lol
Sikubali
Shauri yako yatakushinda maana unapenda kupinga kila kitu,
Mengine tuachie wenyewe jaman eric khaaaaaa!
 
Hii Harusi mbona vinaanza kujiseti mapema hivi ? Angalia ! Utavaa HELMENT kwny harusi ya JUDGEMENT !

Habari ndio hiyo ili kuzuia kutapika,
Bi harusi asije chafuka nikitapika,
vp mipango yoye ishakamilika,
Au ndio sherehe za kukurupuka,
Km ni hivyo wengi watapita hawatakaa!
 
Husninyo amekubali au maana siredi ndefu mno mpaka kupitia yote nimeshindwa
Amekubali kwa moyo mkunjufu.
Ntakuletea sample ya sare ukashone...

@ Cantalisia & Erickb52 nawasalimu kwa amani ya bwana!
 
Shauri yako yatakushinda maana unapenda kupinga kila kitu,
Mengine tuachie wenyewe jaman eric khaaaaaa!

Canta , 52 mbona amehamanika namna hii ? Tangu jana ? Hapumui !
Au nimemjeruhi nini ?
Kama ndivyo tumsaidieje ?
Jeief imefilisika vimwana ?
Sijui nimshauri my wife 2 b , tuhamie Twitter ?
Tukatwiskie kule , au ?
Then naona anakuhoji sana about my husband wako Rejeo ,
anataka ajue hata idadi ya naniliu ... Ilikua vingapi !
Inakuajekuaje ?
 
Hizi ni siri ya chumbani ni marufuku kuongelewa kibarazani atii,

Ww hebu mtafute Amy bana huoni hali ya hewa ilivo?
Sisi hali ya hewa ilichafuka tangu usiku so hapa tulipo tuko chapachapa....Lol hata hatutamaniki natamani ungekuwa karibu utusaidie hata Glucose
 
Canta , 52 mbona amehamanika namna hii ? Tangu jana ? Hapumui !
Au nimemjeruhi nini ?
Kama ndivyo tumsaidieje ?
Jeief imefilisika vimwana ?
Sijui nimshauri my wife 2 b , tuhamie Twiter ?
Tukatwiskie kule , au ?
Then naona anakuhoji sana about my husband wako Rejeo ,
anataka ajue hata idadi ya naniliu ... Ilikua vingapi !
Inakuajekuaje ?
Hahahaaa hayo maneno mazito sana lol
Hivi mbona nilishakubali kuwa mtu mwema JG!
Yan kwa sasa mfuasi wako wa kweli ni Mimi,tena najitolea kila utakachohitaji kwenye maandalizi hadi shela la bibi harusi na suti yako....
Pia ntafurahi km utaniweka kuwa Mwenyekiti wa Kamati na Muweka hazina wangu awe mylove Amy kwa kuwa ni mzoefu sana na mambo ya Kihasibu....
Hope ombi langu limepita kwa kuwa wewe ni mtu wa kusamehe na kusahau....hunaga kufuata yaliyopita...!
Thanks in advance
 
Back
Top Bottom