Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

halafu wewe lawyer hebu usiniharibie jina,mara ya 3 hii naona unaandika maajabu
Dah! acha nirekebishe, unajua jina lako nililiwekea autosaved sasa kumbe spelling wrong. Mtoto mzuri kama wewe lazima uwekwe autosaved bana
 
Mi naona ianzishwe nyingine yenye kichwa cha habari '' maandalizi ya harusi ya Husninyo''
Kweli aiseee maana hata maharusi wakija hawatajua wapi waanzie...lol
kuna wakati JG alikuja akakuta page km 15 akashangaa sana sasa akija sasa hivi ndo kushiney
 
We ni mlinzi na Amy hana hadhi ya chini kiasi cha kuwa na wewe

braza puuuuu!hilo anguko la aibu!..hujui huyu ndo mtei mwenye yale mabasi yakwenda moshi arusha mpaka karatu...lol...amyner hataki shida asee!
 
Afu nyie komeni kumnyanyasa Erick....kwanini mwamendea vya watu lakini?
 
braza puuuuu!hilo anguko la aibu!..hujui huyu ndo mtei mwenye yale mabasi yakwenda moshi arusha mpaka karatu...lol...amyner hataki shida asee!

Ujue sio powa kuchukuliana wake basi kama mchezo wenyewe ndio huu ole wake mtu amguse Sweetylady
 
Hata mfanyaje Amy haniachi na hana wazo la kuwa na mwanaume waruwaru kama wewe na Mtei....
Hebu nipisheni huko...mmejaa majungu tu.... mtasutwa wanaume suruari nyie lol hamna hata haya....waone kwanza
 
Nitty inabidi tufanye mkakati unaoitwa 'Linda usalama wa Amy na SweetLady' hata ikibidi kuwaajiri Klorokwini na Uporoto itakuwa sawa tu
 
Relax honey, hapa hata waje na greda hachukuliwi mtu...mie pia niliapa mbele ya umati...

'Nothing gonna change my love for you'
 
Hata mfanyaje Amy haniachi na hana wazo la kuwa na mwanaume waruwaru kama wewe na Mtei....
Hebu nipisheni huko...mmejaa majungu tu.... mtasutwa wanaume suruari nyie lol hamna hata haya....waone kwanza

Mwanaume hashindani kwa maneno bali kwa vitendo, chukua mkeo weka ndani utakae muona anamzengea mpinge na bapa la upanga akaugulie mbele
 
Nitty inabidi tufanye mkakati unaoitwa 'Linda usalama wa Amy na SweetLady' hata ikibidi kuwaajiri Klorokwini na Uporoto itakuwa sawa tu

Kabisa halafu ninahasira na huyu krolokwin
 
Mwanaume hashindani kwa maneno bali kwa vitendo, chukua mkeo weka ndani utakae muona anamzengea mpinge na bapa la upanga akaugulie mbele
Bora umfundishe manake anatia huruma sana...
 
Hahaha! Kabakabana kaapa nikifa kabla yake atakuwa mjane mpaka muda wake ufike nami pia mimeapa hivyo,mtasubiri sana hapa no vacancy lol!
Hahahaaaa kumbe unajienda eeh
Hivi ndoa yako na Kaby unataraji itadumu kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom