Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Yanaenda kampala na nairobi, chezeiya mtei wewe!

Sasa shem tunamsaidiaje braza...mana ana TOYO...sasa Amy niwakuachia miguu kwenye pikpik kweli?si ndio mwanzo wa kumtoa madoa mtt wa watu...au ndo true love!ktk shida na raha!
 
Hata mfanyaje Amy haniachi na hana wazo la kuwa na mwanaume waruwaru kama wewe na Mtei....
Hebu nipisheni huko...mmejaa majungu tu.... mtasutwa wanaume suruari nyie lol hamna hata haya....waone kwanza

ushakuwa muimba taarabu?
 
Hahahaaaa ujidai.....kwanza nasikia mtei Original ni mtoto wa shangazi yake mke wa binamu yako kwa mke wa mdogo wako kwa mama mdogo wako kwa babu yako mdogo upande wa bibi mzaa babu kwa nyumba ndogo yake ya kwanza....
Lol huna chako hapo

hujui ki2 wewe. Jaribu tena nakwambia
 
Sasa shem tunamsaidiaje braza...mana ana TOYO...sasa Amy niwakuachia miguu kwenye pikpik kweli?si ndio mwanzo wa kumtoa madoa mtt wa watu...au ndo true love!ktk shida na raha!
Hivi hujui Amy hanitegemei kwa lolote???
Mtoto anajitoshereza yule...
Nyumba ya ukweli....Gari la ukweli....
Utamdangana na nini????
Mi sinagana bajeti yoyote zaidi ya kuponda raha tu.....
 
Hawa mahalusi washajichimbia gesti nini? mbona hawaonekani?
B52 tuma mjumbe ile gesti ya kikwapa gest hauz halaf utupatie ripoti
 
Atafute wa kufanana naye. Yani Amy kanionesha makovu ya eksoz ya toyo had choz lkanitoka. Hapand tena hzo bodaboda coz tayari kafka kwangu.
 
Sawa shemito wangu wa ukweli....
Halafu nishaanza kummiss bibie humu...
Ngoja nim PM aje faster kuona Thread ilivyotambaaa km snake wa Snake park

anatumika asee...unapajua mbalamwezi??huku ndio pamekucha...Mtei kapakata mzigo...hana habari braza!...mm nachukua matukio tu hapa...walahii amyner anajua kupendeza asee...amegonga vitu vya woolworth!
 
Hivi hujui Amy hanitegemei kwa lolote???
Mtoto anajitoshereza yule...
Nyumba ya ukweli....Gari la ukweli....
Utamdangana na nini????
Mi sinagana bajeti yoyote zaidi ya kuponda raha tu.....

Unadhani hvyo vyote amevpata wapi? Angalia sana kijana
 
anatumika asee...unapajua mbalamwezi??huku ndio pamekucha...Mtei kapakata mzigo...hana habari braza!...mm nachukua matukio tu hapa...walahii amyner anajua kupendeza asee...amegonga vitu vya woolworth!

2nahama kiwanja sasa. 2naenda Savannah lounge
 
Atafute wa kufanana naye. Yani Amy kanionesha makovu ya eksoz ya toyo had choz lkanitoka. Hapand tena hzo bodaboda coz tayari kafka kwangu.

mwe mwe mwe...maskini!usiniambie yule mtt kaungua na lile bomba la kutolea moshi?ayaaa...kama namuona anavyoenjoy Opa yake!...from zero to hero.LOL
 
Hawa mahalusi washajichimbia gesti nini? mbona hawaonekani?
B52 tuma mjumbe ile gesti ya kikwapa gest hauz halaf utupatie ripoti
Hahahaaaa
Nahisi wameanza honeymoon kabla ya ndoa
Lol wanatia aibu sana hawa jamaa
Ngoja niwafuatilie then ntakuja kuwajuza
 
mwe mwe mwe...maskini!usiniambie yule mtt kaungua na lile bomba la kutolea moshi?ayaaa...kama namuona anavyoenjoy Opa yake!...from zero to hero.LOL

Jibu hlo. Yani kanambia kuwa anahc kfua knauma. Nataka nimpeleke Nairobi next week akafanyiwe full body check up
 
what kind of question do you thnk that is?
Kama ya Uporoto na Husny haikudumu je yako itadumu?
Ukizingatia wewe ni mwenyekiti wa Mjungu Society....
Lol atakukimbia hata kabla ya week mbili lol
 
Back
Top Bottom