sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Yeah, thanks a lot...Pole,
basi hata kesho waweza enda kumuona!
Yeah, thanks a lot...Pole,
basi hata kesho waweza enda kumuona!
Email mpya ya uporoto ujionee mwenyewe lol,
mie good my wii.
Erick keshaiweka, bado hujaiona?hehehe kweli nimepotea mbona silijui hilo tena?
Amyner ni boss wako kwa kuwa yeye ndo mtunza fedha na hivyo hawezi kuwa kamati yoyote tena....Wamenifafanulia kuwa mi ndo waziri wa Ulinz hvyo ninayo mamlaka ya kuteua yeyote awe mlinzi.
Mi na Amyner ndo twakarbia Mbalamweziiii
thread imeenda mbali sana,hata siwezi kusoma!nimehusika kwenye nini tena bro?
Amen dear!...
Ngoja niiweke tena....Erick keshaiweka, bado hujaiona?
Amyner ni boss wako kwa kuwa yeye ndo mtunza fedha na hivyo hawezi kuwa kamati yoyote tena....
Pole sana bwana Mtei
Sio Konnie tu bali Uporoto mwenyewe alikuja akasema na Akatoa ushahidi wa Email yake mpya yaEti wewe umemdatisha uporoto ndio chanzo cha kumbwaga Husninyo, haya maneno kayasema Konnie
Ngoja niiweke tena....
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
Sante sana Mtei, unanipa matumaini sana. Ubarikiwe..Amen. Nina imani kuwa ataponywa coz Mungu we2 ni Mwinguiwa huruma
Kasema uporoto mwenyewe
si maneno yangu
Ngoja niiweke tena....
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
Nitahudhuria na fujo sifanyi......Teh kwani utahidhuria?
Usije kuleta fujo maana mimi nishakubali matokeo tayari bado wewe hujaweka wazi
Ndo ukome sasa maana na wewe umezidi ushakunaku Lolme ndo nimeishiwa nguvu kabisa, kwani nilimtuhumu judge kumfitini husyn kwa uporoto kwa utata uliojitokeza, kumbe uporoto mwenyewe amekuja kutushushua hapa! Sijui uso wangu nitauweka wapi nikionana na judge & husyn? Judge naomba uniwie radhi kwa yale niliyoyaongea dhidi yako, mbarikiwe sana j&h
Najipigia debe apo nipewe kibarua cha kamkoda. Hilo harusi nililishoot bukina faso na mpaka leo jamaa hawajaachana.Tumekuomba? Mbona washonea kanzu harusi za watu? Umealikwa?
uporoto kasema lini na wapi? Atanieleza vizuri leo.
Sio Konnie tu bali Uporoto mwenyewe alikuja akasema na Akatoa ushahidi wa Email yake mpya ya
uporoto@kabakabana.mtotomzuri.com
ndo akapotea
Teh Kaiweka leo...angalia kati ya page 23 na 26 utaionakaiweka lini?thread hii hii ama? Huby bwana