Husninyo Pokea Proposal

Husninyo Pokea Proposal

Hapana. Hakuna k2 kama hcho. Niko njian na Amyner 2naenda Mbalamwezi
Utabakia kuwa na Wish tu lakini hapo kwa Amy huwezi kwa kuwa huna siha hata kidogo!
Kwanza kila uonacho wakitolea macho.....Mh umefulia mbaya ndo maana wamekuweka kamati ya ulinzi....
Hope unaijua status ya walinzi ilivyo.....
Dah wamekudhalilisha sana ningekuwa mimi ndo wewe ninge LOG OFF
 
Kwanini usije?
Nawewe ni kama Mtei na Katavi?
Namaanisha wao walitangaza live sababu ya kuinga ndoa hii kuwa walimtaka Husny ila wakagonga mwamba.sasa wewe tatizo nini??
Acha ukuda wewe, nani kasema hatahudhuria??
 
Utabakia kuwa na Wish tu lakini hapo kwa Amy huwezi kwa kuwa huna siha hata kidogo!
Kwanza kila uonacho wakitolea macho.....Mh umefulia mbaya ndo maana wamekuweka kamati ya ulinzi....
Hope unaijua status ya walinzi ilivyo.....
Dah wamekudhalilisha sana ningekuwa mimi ndo wewe ninge LOG OFF

Wamenifafanulia kuwa mi ndo waziri wa Ulinz hvyo ninayo mamlaka ya kuteua yeyote awe mlinzi.
Mi na Amyner ndo twakarbia Mbalamweziiii
 
We unadhan ni kwanini hataki kuhudhuria harusi ya JG na Husny
Kwasababu mdogo wake kabakabana ndie anaetuhumiwa kuvunja ndoa ya husni na uporoto,

kama watumia laptop mkopie kaby ile email mpya ya uporoto uipaste hapa manake anapata uvivu kusoma...
 
Back
Top Bottom