Ulikuwa hujui kuwa abiria chunga mzigo wako ndio mpango mzima!Swahiba ni kweli siko nae na inaniuma sana...kwanza nilijua wewe ndo umenipiga bao ila kumbe wewe Sweety kakubana kooo....Twende zetu kwenye banana wine
Weka tu Kaizer, nitonye nimemwekea mitambo maalumu ole wake atakayejisogeza!Hivi nitonye ndo kusema SL keshakuwekea Kingo mazima? Nina mpango wa kuanzisha chama cha wenye kingo hapa JF lol
Ulikuwa hujui kuwa abiria chunga mzigo wako ndio mpango mzima!
Hahahahaaaa!Hehehehe kama uko kama hilo jimama au at least unalikaribia,naomba nilejeshee PM zangu zote.
Weka tu Kaizer, nitonye nimemwekea mitambo maalumu ole wake atakayejisogeza!
Hahahaaaa htudanganyiki ng'ooooo kwanza picha yako ya sasa ninayoHahahahaaaa!
Hilo jimama gawanya mara 10 zidisha kwa 2 ndio unanipata mimi. Kaizer shaidi yangu..
Hehehe! Kumbe sazingine una kheshima eeh! Najitolea kukusaidia kumtafuta!Nawewe ukisifiwa kidogo bichwa hilooooo wakati na wewe huwa unalalamika Nitty kapotea.
Teh hivi SL hujamwona Amyner mahali kokote jamani?Nisaidie basi kumtafuta maana nakosa raha hapa
Simtafuti tena Amyner.Hahahaaaa htudanganyiki ng'ooooo kwanza picha yako ya sasa ninayo
Simtafuti tena Amyner.
Ngastuka! Sidanganyiki.Mbona kigeugeu? Namaanisha picha ya sasa wewe ni kipotabo sana tena kuliko hata Amy wangu....siunakumbuka siku ile kule nilipokupiga ile picha? Umepungua zaidi kwa sasa..yan umekuwa potaboooo....Jamani mtafute basi si nishakusifia tayari SL?
Nawewe ukisifiwa kidogo bichwa hilooooo wakati na wewe huwa unalalamika Nitty kapotea.
Teh hivi SL hujamwona Amyner mahali kokote jamani?Nisaidie basi kumtafuta maana nakosa raha hapa
Ngastuka! Sidanganyiki.
Hivi Babu hayupo mjini eeh?
Mbona kigeugeu? Namaanisha picha ya sasa wewe ni kipotabo sana tena kuliko hata Amy wangu....siunakumbuka siku ile kule nilipokupiga ile picha? Umepungua zaidi kwa sasa..yan umekuwa potaboooo....Jamani mtafute basi si nishakusifia tayari SL?
Hujaambiwa kama natembea na sime kiunoni?
Dah leo nanyanyasika aisee....
Amyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy njoo nisaidie mama....wataniua kwa pressure hawa watu...hawana hata huruma
Hajaambiwa huyu!Hujaambiwa kama natembea na sime kiunoni?
Utajiju na kengele zako hizo ole wako umguse SL
Aisee nimekumiss!
How are you?