Husein Bashe anaendesha michezo michafu Arumeru Mashariki

Husein Bashe anaendesha michezo michafu Arumeru Mashariki

Kauli hizi zinachochea vurugu. Siamini kuwa mwandishi wa habari hii ni mzalendo mpenda amani. najua kuwa humu JF wako watu makini laki wapo pia ambao ni wavurugaji kama Agwambo.

Kama umetumwa kupiganisha watu ni afadhali ujiulize kwanza ni tija gani taifa litapata ni sio tu kile utakachopata wewe kama mtu binafsi.
USITUMIKE KUFANYA KAMPENI CHAFU.
Alichokiandika Agwambo ni sahihi 100%. Labda we mwanamagamba unataka kufunika mambo au akili yako haizunguki mara mbili.
Ni kitu ambacho nilitaka kuwatahadharisha CDM walikemee kwa nguvu zao zote. Kwenye gazeti la mwananchi la jana kuna matukio ambayo inaonekana dhahiri yanafanywa na ccm kuzingizia CDM. Mfano eti mtu kaenda kwenye mkutano wa ccm kavaa nguo za cdm kajitokeza katikati ya watu anaimba people powe! watu wakataka kumpiga eti Mwigulu kajitokeza kawaambia mwacheni afundishwe sera za ccm.Mfano wa pili kwenye gazeti hilo hilo eti wamejitokeza vijana wenye sare za chadema na kushambulia msafara wa waandishi waliokuwa kwenye msafara wa ccm na kuvunja kioo.
Ukweli ni kwamba ccm inaondoka kutoka chama cha siasa kuwa chama cha kigaidi. They are very desperate.
Kuna habari kuwa kuna vijana 200 wamewatoa Mara kufanya fujo na kuvuruga kampeni Arumeru kisha kuwasingizia CDM.
Huo ndio ukweli ccm are desparate and they are taking desparate actions
 
Kauli hizi zinachochea vurugu. Siamini kuwa mwandishi wa habari hii ni mzalendo mpenda amani. najua kuwa humu JF wako watu makini laki wapo pia ambao ni wavurugaji kama Agwambo.

Kama umetumwa kupiganisha watu ni afadhali ujiulize kwanza ni tija gani taifa litapata ni sio tu kile utakachopata wewe kama mtu binafsi.

USITUMIKE KUFANYA KAMPENI CHAFU.
Acha ubishi wewe muda huu saa 23:00PM radio yenu TBC Taifa wamesoma habari kama mleta mada alivyosema je kwako kipi cha ajabu wewe? huo ndio uhuni wenu wana Magamba.
 
Meena hayuko hivyo, itakuwa kapewa habari fulani tuu lakini namtetea kwakuwa mara nyingi yeye hayoko biased yuko balanced, ila inawezekana kama alivyotahadhalisha mwana jamvi mmoja jana kuwa CCM wanayo magwanda na wana mpango mbaya kujifanya wao ni CHADEMA na kuanzisha vurugu wakisingizia kuwa ni CHADEMA kuweni macho na hilo inawezekana thats what happened[/QUOTEMkuu labda haumfuatilii Meena wa sasa na wa kipindi kile,kwa taarifa yako huyu jamaa yuko kambi ya Fisadi Lowassa
 
Bashe sio raia wanaosababisha mpaka leo awepo inchini ni EL Na RM. Ivyo inabidi ajitaidi kwa kila hali kurudisha fadhila ila hatutapenda msomali kutuingilia katika nchi yetu. Yeye alishakataliwa uraia na magamba lakini bado yupo tu. Na hata huyo Sioi ana uraia wa nchi tatu Tanzania, Kenya na Uingereza.
 
Basha anafanya pia biashara haramu za kuingiza wasomali kupitia namanga,ana mtandao na mkubwa mmoja wa uhamiaji.
 
Hussein bashe mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation anaendesha mchezo mchafu Arumeru Mashariki dhidi ya CDM .Jana wafuasi wa CCM walifunga barabara ya moshi-Arusha eneo la maji ya chai na kulishambulia gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari na wafuasi wa CDM waliokuwa wakipita barabara hiyo.

Cha kushangaza Bashe kuhadi wa mafisadi ametuma pesa kwa waandishi wa habari waliopo Arumeru Mashariki, na kwa viongozi wa UVCCM waliopo Arumeru mashariki wakiongozwa na Beno malisa ili wafanye press conference kukihusisha CDM na vurugu zilizotokea jana.

Katika fungu la fedha zilizotumwa Arumeru Mashariki jeshi la polisi nao wamemegewa fungu lao na Husein Bashe .Jana jioni alisikika akimpigia kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha na kwa kamanda wa Operation Maalum Paul chagonja Akiwashauri wafanye press conference kulaani CDM Kuwa ndio chanzo cha vurugu zinazotokea Arumeru Mashariki na amewahidi Kusimamia coverage kwenye magazeti.

Wana CDM tujihadhari na Hussei Bashe ni mtu hatari ikumbukwe katika uchaguzi wa Igunga Tabora yeye ndie aliasisi wazo la kuwaonga wasimamizi wa vituo ili wamtangaze fisadi mwenzao Dr Kafumu kuwa mshindi ,Ni yeye ndie aliekuwa anaendesha operation chafu ya kunua kadi za wapiga kura wa Igunga .John F Kenedy US president 1961-1963 aliwahi kusema ''Forgive your enemies but never forget their name" Mwisho wa kunukuu ,Bashe uliotufanyia CDM ukishirikiana na Rostam Pamoja na january Tuliwasamehee lakini kamwe hatuwezi kusahau.

Tumesikia anakuja Arumeru na Lowasa tunamuonya kama anataka aendelee kuishi Nchii hii asikanyage Arumeru amuulizie Babu yake wasira what hapen to him!! Lesson tuliomfundisha Fisadi Mkapa sihitaji kuelezea wote ni mashaidi alipib tukampigia

hawa wasomali bashe,rage na huyo mburushi rostam watakuja kutuingiza kwenye vita we subiria tuu kwao somalia hakukaliki.mburushi ameshahama anatoa hela tuu kuakisha mafisadi wanashinda.
 
377407_10150392311257122_745727121_8283952_2131834437_n.jpg

usitutishe wewe mchumba tu.
Huyu naye ni Msomali kama Bashe, ila eti anajiita msukuma hivyo lazima amtetee Msomali mwenzake
 
UVCCM YAIONYA CHADEMA ARUMERU
Kampeni za ubunge katika jimbo la Arumeru mashariki ,zimechukua sura mpya baada ya umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Kukionya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kitumie busara walizopewa na mwenyezi mungu kwa kutoa karipio kali kwa wafuasi wao

Tamko hilo lilitolewa jana mjini Arusha na katibu mkuuu wa UVCCM Taifa ,Martine Shigela ,wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia msafara wa mgombea ubunge wa chama hicho ,sioi Sumari ,kuvamiwa na kupigwa mawe juzi na watu wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa Chadema

Msafara huo ,ulipigwa mawe na kundi la watu waliokuwa na bendera za chadema katika eneo la maji ya chai na kusababisha mwandishi wa gazeti hili,Eliya Mbonea kunusurika kupigwa na kitu kizito mgongoni ,huku vioo vya magari vikivunjwa

Akizungumzia tukio hilo shigela alilaani vikali na kusema kama chadema wanafanya siasa za kiungwana wana kila sababu ya kujitokeza hadharani kuomba radhi kwa kitendo kilichofanywa na wafuasi wao

''Jana (Juzi) msafara wa mgombea wetu umevamiwa na kupigwa mawe ,lakini pia gari la waandishi wa habari ambao halikuwa na alama yoyote ya chama nalo limeshambuiliwa na kuvunjwa kioo

''Chadema wametuchokoza jana ,ilikuwa ni siku yao ya kwanza na ya mwisho kufanya fujo ,kwani hatutakubali tena kuona jambo hili likitokea kwenye msafara ''alisema shigela

Kwa upande wake ,katibu wa chama cha waandishi wa habari Arusha (APC) Eliya Mbonea ,Akizungumza kuhusu kushambuliwa huko alilaani kitendo hicho,Mbonea aliyekuwa ndani ya gari hilo alijikuta akinusurika kupigwa na kitu kizito kilichovunja kioo hicho

Kwa upande wa Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha alikiri kupokea taarifa hizo na kusisitiza kuwa uchunguzi wa kina unafanywa
 
Source Mtanzani
 
Only in Tanzania, kwingine hapana.Kumvumilia mtu kama Bashe!
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu! hii habari imetungwa kabisa na wala haina utata!
 
Back
Top Bottom