Husband Material Siku hizi ni wachache sana

Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.

Husband material ni wachache kwasababu pia wife material ni wachache wakati wanaume wameongezeka wa kutegemea wake na kuishi kwa mishahara ya wake ni sababu nao wamechoka kutake care wanawake wenye mabwana wengi maana wanawake wa siku hizi macho mbele anakuwa na bwana wa kumpa care halafu anachukua hizo pesa naye kwenda kumpa care mwanaume mwingine huu ujinga wanaume hawautaki tena wameona kupunguza maumivu ni kula pesa za wanawake au kushare gharama 50/50 maana wanaume wamechoka kufanywa mafara
 
Daaah! Afadhali kumbe mpo mnaolitambua hili.
Ni mara nyingi nakutana na wanaume eti wanalalamika kabisa maisha magumu,sipati kazi,mshahara mdogo, yaani wananivunja moyo kabisa kabisa, nachoka kabisaaa.
Yaani sasa hivi anacholalamikia mwanaume ndicho anacholala mikia mwanamke.
Ndiyo maana heshima na utii unapungua sana kwenye ndoa za sasa coz mwanamke anafight sometimes more than anayeitwa baba na bado anatake care the family.
Sii mmetaka usawa?sasa mnalalamika nini?maana kila kitu siku hizi wanawake kwanza
 
Daaah! Afadhali kumbe mpo mnaolitambua hili.
Ni mara nyingi nakutana na wanaume eti wanalalamika kabisa maisha magumu,sipati kazi,mshahara mdogo, yaani wananivunja moyo kabisa kabisa, nachoka kabisaaa.
Yaani sasa hivi anacholalamikia mwanaume ndicho anacholala mikia mwanamke.
Ndiyo maana heshima na utii unapungua sana kwenye ndoa za sasa coz mwanamke anafight sometimes more than anayeitwa baba na bado anatake care the family.

kama maisha magumu,waambie waongeze maji yalainike,me naamin katika kupambana,na ukipambana utafanikiwa,hasa sisi vijana tupambane tu
 
Huwez kua Husband kama sio Husband material na huwez kua wife kama haujawa wife material

kwahio kulingana na thread yako, unaweza kuwa HUSBAND MATERIAL lakini USIWE MUME MZURI and vice versa.
maanake unalalamikia husbands ambao kabla ya kuwa husbands ilibidi wawe husband material[according to you].
 
Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.

Tatizo huwa majui tu

Ili kutambua huyu ni mume material kuna kanuni na kila mwanamke ana kanuni zake

Hivyo mume marerial ni tofauti kwa kila mwanamke kulingana na kanuni zake!
 
Umeamua kumfikishia ujumbe mumeo kupitia hapa?

Sio vyema ukaexpose stress zako

Hahahaha, mimi chimo mkuu, mleta mada ni mtoto wa kiume anawalalamikia wanaume, nafikiri huenda anatoa mada kwa niaba ya dadake maana usijekuta ndo anamtunza mumewe.
 
Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.

Wanawake tunaweza
Tunataka haki sawa
mbona mwapiga kelele sasa
 
Wife material ndo kabisaaa. Kushnei. Hamnaaa. Hawapoooo. Feeki tupu.
 
Hivi kuwa husb material ni namna unavyotafuta pesa?Na wenye pesa wote ni hbd material? FYI H/Material ni matokeo ya malezi na makuzi aliyopitia.Mengine mnajidanganya mno!
 
Mungu ndiye anayejua mke au mume mwema. Muombe Mungu acha kuangalia kwa macho. Mioyo ya binadamu ina siri nzitoo.
 
Kweli wewe nae mtoto wa kike tu kama mwenzio

Back
Top Bottom