Husband Material Siku hizi ni wachache sana

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,852
Reaction score
35,620
Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.
 
Wewe ni mwanaume kama mimi lakini unawaza habari za hamsin kwa hamsin tena kwenye mshahara wa mkeo wa laki tatu kwa mwezi halafu unajipa moyo ooohhh nitatoka nani anakudanganya wewe, halafu bado unajiita wewe ni kichwa cha familia la hasha lazima tubadilike ndugu zangu la sivo tutaibiwa wake zetu na wale wenzetu wanaojituma kusaka salari
 
Kijana umemaliza chuo umeajiriwa serikalini miaka miwili umeoa, mwanachuo mliehitim nae haujajipanga, haujandaa mirija ya kiuchumi zaidi akili yako yote kuwaza mshahara wa mkeo ambaye yeye kasomeshwa na wazazi wake wakulima wa mahindi pale ileje nasisitiza wanaume tubadilike sasa
 
Jitume wewe ni kichwa cha familia na ili mkeo akuheshim lazima aone impact yako ktk uchumi wa familia sio unaanza kumtolea macho kila tarehe 15 , unamkosesha amani ya moyo mtoto wa kike wa watu hadi anawaza kumkubali mjasiliamali aliemtania au kumpa lifti
 
hizi zama siyo za kuwaza kuolewa au kuoa bali ni zama za kujikomboa kwa kila moja yaani mwanamke ajue kuzitafuta na mwanaume ajue kuzitafuta hapo ndipo familia bora itapatikana kuliko kujitwisha mzigo usiobebeka wamajukumu
 
^^
Mbona wapo wengi sana! Wana magari yao, majumba, miradi yao, sema tu hawaoi wanawachezea tu.
Akina sie tusio navyo ndio juhudi zetu haziendi joshi. Hivyo vuteni subira pengine wataamua kuoa, subira yavuta heri
^^
 
dah yani we jamaa bana mbona unaona watu maboya sana au alovera chungu
 
Mbona nikiaandika ya akina dada tunashangilia vipi upande wetu japo sio wanaume wote wasiofaa kua husband material

dah yani we jamaa bana mbona unaona watu maboya sana au alovera chungu
 
Acha mkuu topic ya akina dada wapenda vya bure bila kujua wanaume tunatoka jasho kiasi gani itakuja sio muda mrefu

^^
Mbona wapo wengi sana! Wana magari yao, majumba, miradi yao, sema tu hawaoi wanawachezea tu.
Akina sie tusio navyo ndio juhudi zetu haziendi joshi. Hivyo vuteni subira pengine wataamua kuoa, subira yavuta heri
^^
 
Kwanza HBD mkuu afadhali wewe umeliona hilo yaani hua nashangaa sisi wanaume kwa nini tumezidi uvivu? Namna hiyo halafu tuna ndoto ya kua familia bora

hizi zama siyo za kuwaza kuolewa au kuoa bali ni zama za kujikomboa kwa kila moja yaani mwanamke ajue kuzitafuta na mwanaume ajue kuzitafuta hapo ndipo familia bora itapatikana kuliko kujitwisha mzigo usiobebeka wamajukumu
 
husband materials tupo wengi sana tatizo dada zetu wanachagua mno! eti awe mrefu awe na gari na nyumba wats a shits?they dont want to start from the begining, rahisi rahisi lovers
 
Husband mbali sanaaa wanaume wenyewe siku hizi wa kuhesabu, hao wachache tunagombania weeee
wanawake tunagombana wenyewe na bado tunagombana na wanaume tena kugombea mwanaume....
 
Tathmini upya mkuu

husband materials tupo wengi sana tatizo dada zetu wanachagua mno! eti awe mrefu awe na gari na nyumba wats a shits?they dont want to start from the begining, rahisi rahisi lovers
 
Kumbe mnagombania kwa sababu ninyi mko wengi sana au?

Husband mbali sanaaa wanaume wenyewe siku hizi wa kuhesabu, hao wachache tunagombania weeee
wanawake tunagombana wenyewe na bado tunagombana na wanaume tena kugombea mwanaume....
 
Habari kamiliiiiiiiii na ya uhakika
kwa masikitiko makubwa sana naona ongezeko kubwa la wanaume ambao wanakosa sifa za kua wame bora ndani ya familia zao kwa sababu ya kutoyatambua majukum yao kama baba wa familia, wengi wa wanaume wana ndoto za kufanikiwa maisha kupitia kazi au mishahara ya wake zao na ikifikia hapa jua wewe haufai kuishi na mwanamke, jitahidini kujipanga , acheni uvivu, vumbua fursa za kiuchumi na uwe na mipango endelevu hapo utakua ni husband material.

Malizia kwa kusema hivi: "ili status quo ya tangu enzi na enzi ibaki "
 
Back
Top Bottom