MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,138
- 15,091
Hakuna furaha na amani ndani ya ndoa huku mkiogelea kwenye dimbwi la umasikin uliokithiri mazee
Ndio maana nikakwambia haya mambo ni relative. Unayapimaje, uwezo wa kifedha unapunguza tatizo moja tu la uhakika wa huduma za chakula, maradhi, matibabu n.k lakini hazileti furaha kwenye ndoa.
Ni matajiri wangapi ndoa zao ni ndoa jina tu, I mean wanajulikana kama ni mme na mke lakini hawalali chumba kimoja kwenye hilo ghorofa wanalokaa. Tatizo letu tumekuwa too materialistic, tunaamini material things completes one's life but it's not the absolute truth. Kuna mambo mengine ya muhimu zaidi.