nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Hamjambo wote?
Huruma ya mwanamke iko wapi kama hata kwenye hili dogo haiwezekani?
Mara kwa mara nilikua namchukulia mwanamke kama kiumbe chenye huruma sana, mtu mwenye kuelewa nini maana ya uchungu wa mtoto na purukushani za kumove 4m one place to another huku mtoto akiwa mgongoni, zinavyochosha. kwa jinsi Public Transport zetu zinavyojaa, mama mwenye mtoto anatakiwa kusaidiwa either kupewa seat or kubebewa mtoto. Cha kusikitisha mwanaume ndio huwa wa kwanza kumsaidia mwanamke katika hali kama hii huku mwanamke akijifanya haoni kwa kukwepesha macho yake dirishani. Sio mbaya, kwa mwanaume kusaidia bt women should b ashamed 4 this.