Hureeeeee wana jf tumevunja rekodi tujipongeze

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Kama leo ingekuwa ni mwisho wa dunia tungekusa moja kati ya watu ambao wangeuona huo mwisho wa dunia. Hivyo tulitakiwa tujipongeze kwa hilo ila tuendee kusubifi maana siku bado ndefu

Na kama utakuwa uzushi basi tutaingia kwenye kitabu cha rekodi ya watu walioshuhudia propaganda za mwisho wa dunia katika kipindi kifupi kwa kushuhudia mara mbili ya mei na december..
Tuendelee kujipongeza kwa bia, noah na kungonoka tu
Kwanza leo ni ijumaa
 
:becky::becky::becky: mmmh ile sayari inayokuja kuigonga dunia ipoteze ulekeo labda imeenda kugonga sayari ya Pluto......!:becky::becky::becky:
Hapo kwenye kungonoka balaa mkubwa.....!
 
.., leo Ijumaa! ngoja nifanyekazi haraka niwahi kutoka huku mjini...
 
:becky::becky::becky: mmmh ile sayari inayokuja kuigonga dunia ipoteze ulekeo labda imeenda kugonga sayari ya Pluto......!:becky::becky::becky:
Hapo kwenye kungonoka balaa mkubwa.....!

Naomba iende kuipiga magogoni
 
Kama leo ingekuwa ni mwisho wa dunia tungekusa moja kati ya watu ambao wangeuona huo mwisho wa dunia. Hivyo tulitakiwa tujipongeze kwa hilo ila tuendee kusubifi maana siku bado ndefu

Na kama utakuwa uzushi basi tutaingia kwenye kitabu cha rekodi ya watu walioshuhudia propaganda za mwisho wa dunia katika kipindi kifupi kwa kushuhudia mara mbili ya mei na december..
Tuendelee kujipongeza kwa bia, noah na kungonoka tu
Kwanza leo ni ijumaa

Angalia isije ikawa ndo mwisho wa kujipongeza kwako......!!!!!!
 
...Na Lema karudishiwa ubunge wake! What a weekend!
 
C.T.U wenzio tupo kwa Sir god sasa tunasifu na kuabudu, wewe ushaachwa brodaaa
 
Kwa sababu hatujafa,ina maana tumeanza mwaka mpya!!
Nawapongeza wana Chit Chat kwa kuuona mwaka mpya!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom