Hupaswi kudanganywa mara mbili!

Hupaswi kudanganywa mara mbili!

Musundi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
1,584
Reaction score
2,613
Waingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"

Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!

Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!

Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
 
Mimi nimekataa kuongozwa na mshamba limbukeni wa ubeberu ambaye tulimpa miaka 5 hamna alichotufanyia zaidi ya kututeka tu
 
Magufuli aliondoa FAO la kujitoa mwaka 2018

Baadae akatamka kuwa wamefuta Sheria Hadi 2023.

Ni ulaghai, NSSF hawatekelezi...Hakuna kulipwa Pesa za mafao ukipoteza kazi au mikataba kuisha.

CCM Ndugai na Wabunge Ni walaghai

Futa CCM, ondoa Magufuli...
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Jibu hoja siyo unaandika chochote kinachokuja akilini au ni kichaa ?
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Ndio nyie mlimdanganya meko kwamba upinzani umekufa afu sasa hivi mzee anahangaika na kutapatapa. Acheni unafiki

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli bana! Anatufanya sisi mazuzu, alituahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka 2015 kabla hajawa Rais. Alipoapishwa akatugeuka kwa madai anajenga stigler's gorge, standard gauge na ma-flyover. Sasa anakuja na ahadi ile ile!
Hatudanganyiki!
 
Nakumbuka aliwahi kutoa hata matamshi ya utata kwelikweli kuonyesha kapania kuwakomoa walio mchagua. Sasa acha akomolewe yeye

Screenshot_20201020-075555.jpg
 
Ni ujinga tu.. Ujinga Ujinga Ujinga...
Hakuna kingine.
Waingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"

Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!

Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!

Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
 
Ahaa..
Mtaji wao ni Ujinga wetu sisi Wenyewe.
Magufuli bana! Anatufanya sisi mazuzu, alituahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi mwaka 2015 kabla hajawa Rais. Alipoapishwa akatugeuka kwa madai anajenga stigler's gorge, standard gauge na ma-flyover. Sasa anakuja na ahadi ile ile!
Hatudanganyiki!
 
Kama mtumishi anayejielewa hawezi kumpa kura tena magufuli. Kitendo cha kuondoa fao la kujitoa, kutoongeza mishahara halafu anakuja kuongeza makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% then anatoa kauli za vitisho eti kama umechoka acha kazi .
Yani ni spana ya utosi mapema sana
 
Waingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"

Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!

Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!

Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
Watanzania tusikosee tena kama 2015 tumeona namna miaka mitano ilivyokuwa michungu kwa watanzania
 
Kama mtumishi anayejielewa hawezi kumpa kura tena magufuli. Kitendo cha kuondoa fao la kujitoa, kutoongeza mishahara halafu anakuja kuongeza makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% then anatoa kauli za vitisho eti kama umechoka acha kazi .
Yani ni spana ya utosi mapema sana
Sidhani Kama kuna mtumishhi yeyote anaeweza kumchagua huyu bwana tena,
 
Lisu anafaa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia mmoja, Sio rais waTanzania. Kwasasa hatuitaji laana ya Sodomama na Gomora.
 
Waingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"

Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!

Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!

Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
Kumchagua jiwe ni sawa na kumkopesha tena mtu unaemdai
 
Back
Top Bottom