Huna Sababu ya kung’oa Jino Lako, Njoo Utibiwe mapema

Huna Sababu ya kung’oa Jino Lako, Njoo Utibiwe mapema

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
133
Reaction score
175
Iwapo Jino lako limetoboka /Kuoza kuna Matibabu zaidi ya Matatu Ya Kulitibia na Likabaki imara kwa zaidi ya miaka 15!.

1. Huduma ya kutibu mzizi wa jino Root Canal Treatment (RCT)
2. Huduma ya kujaza kwa dawa ya mda Mfupi/ mda mrefu
3. Huduma ya kuondoa kiini Cha jino

Hizo njia zote tatu zinaweza tumika kulitibia jino na likapona vizuri , ukaweza kula na kutafuna vizuri

Hapo nimeweka Picha za Matibabu kabla na baada ya Matibabu
Karibu Tukuhudumie

Appointment 📅 0658950085
Tupo Dar es salaaam, Pwani

b3654b73-3d1c-49c5-a652-f5184b09d996.jpeg
IMG_1692.jpeg
 
Hiyo root canal treatment ndio inahusisha ma X-ray mengimengi?
 
Iwapo Jino lako limetoboka /Kuoza kuna Matibabu zaidi ya Matatu Ya Kulitibia na Likabaki imara kwa zaidi ya miaka 15!.

1. Huduma ya kutibu mzizi wa jino Root Canal Treatment (RCT)
2. Huduma ya kujaza kwa dawa ya mda Mfupi/ mda mrefu
3. Huduma ya kuondoa kiini Cha jino

Hizo njia zote tatu zinaweza tumika kulitibia jino na likapona vizuri , ukaweza kula na kutafuna vizuri

Hapo nimeweka Picha za Matibabu kabla na baada ya Matibabu
Karibu Tukuhudumie

Appointment 📅 0658950085
Tupo Dar es salaaam, Pwani

View attachment 3546243View attachment 3546244
Gharama?
 
Huduma ya kuchonga meno vipi .Nina maneno yamekaa kama jembe na pembeni kama ofsa ngiri ndugu mtaalamu.Asante.
 
Huduma ya kung'arisha meno vip ipo?
Ndyo huduma ya Kung’arisha meno ipo ikiwepo Veneers, Crowning, Bleaching , pamoja na professional tooth Scalling & polishing & flossing… Karibu Tukuhudumie
 
Huduma ya kuchonga meno vipi .Nina maneno yamekaa kama jembe na pembeni kama ofsa ngiri ndugu mtaalamu.Asante.
Ipo boss wangu karibu , Tuwasiliane kwa namba kwenye post , niweze kujua namna ya kukusaidia
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Back
Top Bottom