Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Hii sina uhakika na siwezi kuitolea maelezo nitadanganya.
Lakini kama alifanya au kuhusika basi alikosea,

Hii sio tatizo, sio kosa kisheria, NI sehemu ya KAZI ya wanasiasa.
Kama Chadema wanavyoshawishi NRNE.

Shida itakuja kama hatashawishi ila atatumia mabavu ya dola, au kutoa rushwa.

Huku nafikiri Polepole Hana ubavu na hakuwa na role hiyo.
Ingawaje unaweza kumhusisha kwa kuwa sehemu karibu na JPM.

Swali; kwa mfano Siku ukijua kuwa JPM hakuhusika na utekaji na mauaji utafanyaje, utajihisi vipi?
Mkuu Mimi najua mambo mengi Ila siwezi kuandika hapa.

Ila huwa nawasikitia Sana vijana wanaojiita wakereketwa wanaoliwa kupotezwa kisa siasa na wanashindwa kujua kuwa this is business.
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!

View: https://youtu.be/JuxQsdv2qKU?si=ic63272mPzNvVKIp
 
Leo nimpungukiwa imani juu ya CCM kwa kias fulani. Kapunguwa mtu katika nao amin wanaweza nitetea #ngoja tuone
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!
Ngoja tuone mwisho utakuaje
 
Unamwagia Polepole sifa ambazo hana. Labda useme barua yake hii kaiandika bila woga kwa mamlaka ya uteuzi. Huyo Polepole alishiriki moja kwa moja katika serekali ya Magufuli kuharibu demokrasia ya vyama vingi. Alikalia kimya uovu wote uliofanyika chini ya utawala wa Magufuli, kwani aliamini Magufuli alitakiwa kutawala kama Mungu. Wakati unammwagia hizo sifa usidhani tumesahau alisimama upande gani wakati haki inaminywa chini ya utawala wa Magufuli.
 
Nauheshimu uamuzi Polepole lakini kuna maswali angetufafanulia angekomba credit za wananchi walioteseka chini ya awamu ya Jpm.

Watu waliotekwa akina Mo dewji. ROMA. Ben saanane. Kabendera na wale wote waliofungwa jela bila ushahidi wakilazimishwa kutoka kwa plea bargain ambayo ilijulikana baadae imeliwa na wajanja. Rejea mmiliki wa jengo la wasafi headquarters john mkenya.
Yeye polepole mbona hakujiuzulu na.kupinga hadharani ukandamizwaji wa haki.

Vituko na kiki alizokuwa akizifanya bashite mpaka kutembea na hitsqaud kuvamia clouds polepole hakuwahi kusikika akikemea wala kujiuzuru.

Ufisadi unaoibuliwa na CAG dhidi ya wabadhirifu hakuwa kusikika akikemea.

Kesi ya kubambika aliyopewa sugu. Mbowe na wengineo polepole hajasikika mahali akikemea wala kujiuzuru.

Sakata la kutaka kukiukwa katiba ya kukaimishwa madaraka kwa makamu wa raisi baada ya kifo cha JPM polepole hajawahi kuzungumziq uhuni uliotaka kumpeleka chamuhiro ikulu.

Mawazo yangu ni kwamba within CCM kuna fukuto na linaonekana liko very well planned kumpiga pini simba wa kizimkazi asirudi ila kwa katiba yetu wanayoikumbatia kila siku ni mitano tena kwa SSH. Hakuna namna tuwe wavimilivu tuu.

Najua polepole hakai chungu.kimoja na.steve nyerere na steve ni boogeyman wa kisiki.
 
Kwa hiyo SASA hivi amekosea alichofanya kwa kile alichoshiriki au kushindwa kuchukua hatua wakati wa jpm?
 
Kwa nini wakati huu?
 
Hii barua ina miale ile ile ya Press ya Gwajima. Nahisi ni mambo staged kwa malengo ya siasa za hadaa, kwanini hadi leo Gwajima hajakamatwa wakati kanisa lake linasumbuliwa?

Gwajima hakuwa staged,
Barua ya Polepole haipo Staged kwani inashusha heshima ya uongozi mzima wa Rais Jambo ambalo kisiasa na wakati tuliopo wa uchaguzi ni gumu.
 
Kwa hiyo SASA hivi amekosea alichofanya kwa kile alichoshiriki au kushindwa kuchukua hatua wakati wa jpm?
Hajakosea, ila hana sifa za kusimamoa haki, bali ana matakwa yake binafsi kwenye awamu hii naona hayafikiwi, hivyo anatumia vitisho kutaka kuyapata. Alichosimamia wakati wa Magufuli hatujakisahau kabisa, na wala hatumuoni shujaa wa hivyo. Ila ni sawa huko ccm waingie kwenye migogoro.
 
Back
Top Bottom