Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Msimpe Hongera ni mapema mno, maana KAZI ndiyo kwaanza anaianza. Tuliona walichomfanyia Mzee wa Nazaleti baada ya kulalamikia mikopo ya kila kukicha.

Polepole, hatukupi hongera, sisi tunakwambia ushayavagaa - pambana hadi mwisho - wenzako huku makanisa yanavunjwa!! Kisa kusema watu wanatekwa.
 
Humprey kabla hajafika bei na kupewa cheo ndani ya chama alikuwa mtu na nusu......Kampeni yake ya kataa wahuni ni kampeni nzuri sana na ile falsafa yake ya mtu ukiwa umenyooka ndani ya sisiemu lazima mambo manne yakutokee.
 
Halafu kwanini uhangaike kumlazimisha a
jiuzuru mtu ambaye unaweza kumtengua sekunde yoyote bila hata outta sababu.
Barua ya kujiuzulu haipo hivyo.

Hiyo barua imemshambulia boss wake moja kwa moja. Yaani mshale haukwenda pembeni.

Tuhuma zote kampa Boss wako.
Isome vizuri hiyo barua.

Barua za kushinikizwa hazikai hivyo,

Ukifikiria kwa upande wa staged event bado unaona haiingii
 
Msimpe Hongera ni mapema mno, maana KAZI ndiyo kwaanza anaianza. Tuliona walichomfanyia Mzee wa Nazaleti baada ya kulalamikia mikopo ya kila kukicha.

Polepole, hakukupi hongera, sisi yunakwambia ushayavagaa - pambana hadi mwisho - wenzako huku makanisa yanavunjwa!! Kisa ni kusema tu watu wanatekwa.

Ni kweli ni mapema mno kumpa hongera.

Lakini alichokifanya hata Gwajima hakufanya.
Unajua Gwajima pamoja na kuongea ukweli lakini alimnusuru Rais kwa kusema Serikali haihusiki na hayo mambo ya utekaji.

Lakini ukisoma Barua ya Humphrey amepiga mshale ambao haujauelekeza kwa mwingine zaidi ya Boss mwenyewe.

Wewe isome vizuri hiyo barua.

Kwa Hilo tuu mimi nikasema anastahili kupewa pongezi za awali.

Sio jambo dogo
 
Hiyo defensive mechanism.

Hayo anayoyalalamikia kwa asilimia kubwa yeye ndo amekuwa akiyaratibu .

Ukifanya analysis unagundua huyu jamaa kafukuzwa Ila kaamua kuweka hiyo barua ili atafsirike kama hero.

Sijaona jambo la maana amendika hapo .

Mfano utawala wa awamu ya 05

-Kuua demokrasia
-utu
-Haki

Hii misingi alikuwa anaiaharibu yeye mwenyewe na Bashiru then Leo analalamimia mambo yaleyale aliyokuwa anayafanya .

Ukiwa na IQ ndogo utampongeza Ila this guy is not my hero.
 
Barua ya kujiuzulu haipo hivyo.

Hiyo barua imemshambulia boss wake moja kwa moja. Yaani mshale haukwenda pembeni.

Tuhuma zote kampa Boss wako.
Isome vizuri hiyo barua.

Barua za kushinikizwa hazikai hivyo,

Ukifikiria kwa upande wa staged event bado unaona haiingii
Mimi bado naamini ni staged event. Hadi upite mwezi
 
Humprey kabla hajafika bei na kupewa cheo ndani ya chama alikuwa mtu na nusu......Kampeni yake ya kataha wahuni ni kampeni nzuri sana na ile falsafa yake ya mtu ukiwa umenyooka ndani ya sisiemu lazima mambo manne yakutokee.

Ni kweli.
Ingawaje madhaifu ya kibinadamu yapo kwani naye anamahitaji kama watu wengine.
Lakini jamaa yupo katika nafasi nzuri ya watu wenye msimamo unaoleweka wa upande wa kupigania haki
 
Mambo ni mengi hapo ilikupata majibu yake lazima tuanze kumfatilia Polepole katika awamu zote ndo tulinganishe na hayo maneno anayosema sasahv tena kuelekea uchaguzi ndo tutapata majibu sahihi..ila mengine aliyoyasema nampongeza.
 
Ni kweli.
Ingawaje madhaifu ya kibinadamu yapo kwani naye anamahitaji kama watu wengine.
Lakini jamaa yupo katika nafasi nzuri ya watu wenye msimamo unaoleweka wa upande wa kupigania haki
Mkuu naomba uichambue barua yake vizuri bila hisia .

Then tuangalie maudhui ya barua tukipata maudhui tuanzie hapo.

Kwakuwa utawala wa awamu ya sita ni reflection ya utawala wa awamu ya tano kwa 90%.

Mimi binafsi nina 6th sense sio rahisi mtu anidanganye.
 
Hiyo defensive mechanism.

Hayo anayoyalalamikia kwa asilimia kubwa yeye ndo amekuwa akiyaratibu .

Ukifanya analysis unagundua huyu jamaa kafukuzwa Ila kaamua kuweka hiyo barua ili atafsirike kama hero.

Sijaona jambo la maana amendika hapo .

Mfano utawala wa awamu ya 05

-Kuua demokrasia
-utu
-Haki

Hii misingi alikuwa anaiaharibu yeye mwenyewe na Bashiru then Leo analalamimia mambo yaleyale aliyokuwa anayafanya .

Ukiwa na IQ ndogo utampongeza Ila this guy is not my hero.

Tufanye kafukuzwa KAZI.
Ujasiri wa kumsema Boss wako tena Rais wa nchi, tena hadharani ni Jambo kubwa ambalo asilimia 99.9 ya watanzania hawaliwezi.

Lakini yeye kaweza, hiyo pekee inatosha kumpongeza.

Kuhusu serikali ya Magufuli, ni kweli jamaa hakuwa active kupigania haki kwa watu wengine hasa vyama vya upinzani.
Zingatia huyohuyo Humphrey aliwhi kusema ndani ya nchi kuna genge la wahuni linaloongoza serikali.
Kauli yake hiyo na matendo ya awamu ya JPM na ambayo yaliendelea baada ya JPM unaitafsiri vipi?
 
Mimi binafsi nimekuambia nina 6th sense namjua MTU mbaya na mzuri.

Huyu jamaa sio mtu mzuri Ila anachofanya anataka jamii imtafsiri vizuri.

Ukisoma barua. Yake utagundua katumia lugha ya falsafa Kama unavyojua lugha ya kifalsafa ni sawa na kujenga Nyumba yenye milango miwili unaweza kutokea nyuma au mbele.
 
Mkuu naomba uichambue barua yake vizuri bila hisia .

Then tuangalie maudhui ya barua tukipata maudhui tuanzie hapo.

Kwakuwa utawala wa awamu ya sita ni reflection ya utawala wa awamu ya tano kwa 90%.

Mimi binafsi nina 6th sense sio rahisi mtu anidanganye.

Mkuu utawala WA nchi hii nu uleule tangu nchi ipate Uhuru.
Hiyo swami ya tano, ya sita, ya nne, ya tatu na hata ya 7,8,9,10 zote zitakuwa zilezile tuu.

Hata wewe au Mimi ukiingia kupitia mfumo uliopo mambo yatakuwa hayahaya.

Polepole yeye tunampongeza kwa alichofanya Leo. Haimaanishi Hana mabaya au mazuri wakati uliopita.
 
Kwahiyo pole pole ni Mtibeli?
 
Hii barua imempiga Rais moja kwa moja.
Aliposema mambo ya kukiuka maadili, sijui haki za binadamu na blabla zingine niliona amerusha kombora bila kuweka target
Lakini aliposema mambo ya January sijui kupitishwa bila kufuata kanuni ndio nikajua kombora limem-target boss mwenyewe.

Sasa haijulikani nini kitatokea, lakini uhakika ni kuwa atakuwa salama
Huwezi kua na akili timamu Wewe ni Mtanganyika ukakubaliana na uhuni wanayofanyiwa wakina Lissu
 
Back
Top Bottom