Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Mimi binafsi nimekuambia nina 6th sense namjua MTU mbaya na mzuri.

Huyu jamaa sio mtu mzuri Ila anachofanya anataka jamii imtafsiri vizuri.

Ukisoma barua. Yake utagundua katumia lugha ya falsafa Kama unavyojua lugha ya kifalsafa ni sawa na kujenga Nyumba yenye milango miwili unaweza kutokea nyuma au mbele.

Kwa nini unasema sio mtu mzuri?

Kwa upande wangu nimempa pongezi kutokana na ujumbe uliopo katika barua yake.
Sababu ya kujiudhulu.
Mlengwa wa sababu hiyo ambaye hajamtaja direct lakini maelezo yanamlenga Boss wake.

Aliyoyasema yote ni Kweli.

Sasa labda tujadili kuhusu Nia yake ambayo kwenye barua kasema Nia yake anataka kupata Amani ya moyo, na Amani ya moyo ni kuona Haki, maadili, Sheria za chama chake na katiba ya nchi ikifuatwa.

Kama anaagenda nyingine, kuithibitisha ni ngumu Sana.
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!
Ongera sana Polepole
 
Mambo anayofanya ni Kama yale ya Gambo .

Akili zao Kama Tumbili wachoma msitu huku hawajui watalala wapi usiku ukiingia.

That's karmic debt
 
Hii barua imempiga Rais moja kwa moja.
Aliposema mambo ya kukiuka maadili, sijui haki za binadamu na blabla zingine niliona amerusha kombora bila kuweka target
Lakini aliposema mambo ya January sijui kupitishwa bila kufuata kanuni ndio nikajua kombora limem-target boss mwenyewe.

Sasa haijulikani nini kitatokea, lakini uhakika ni kuwa atakuwa salama
Huu ujasiri wa jamaa huyu (Polepole) katikati ya ukatili wa utawala wa Bi Jezebel Samia wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua na kumbambikia kesi wakosoaji wa serikali yake si wa kawaida, si wa bure...

Huyu amehakikishiwa usalama wake kabla ya kujilipua. Liko kundi kubwa nyuma yake linalo msapoti...

Hebu fikiri: Majaliwa, Makamba Jr, Philip Mpango, Gambo, Mpina and others wamejitenga na u - Samia unaoendelea....

Je, ni kwa sababu tu wametosheka na hawataki tena kuwa viongozi ktk serikali ijayo wakati wanayo hiyo nafasi na umri wao ukiwa bado vijana kabisa? Bila shaka wameona njia zao zimeziba. Wanatumia njia nyingine kufikia hatima yao...!!

Bi Jezebel Samia Suluhu Hassan ana wakati mgumu sana kuliko wa Jakaya Kikwete mwaka 2015...

Salama yake na ya CCM kwa ujumla ni Bi Jezebel Samia Suluhu Hassan kutangaza sasa kujiondoa kwenye kugombea u - Rais tena ili waliobaki wapambane na apatikane mmoja na ni lazima awe MTANGANYIKA...

Hutataki Tanganyika kutawaliwa na Mzanzibari asilani...
 
Mambo anayofanya ni Kama yale ya Gambo .

Akili zao Kama Tumbili wachoma msitu huku hawajui watalala wapi usiku ukiingia.

That's karmic debt

Sawasawa!

Twende kwa tahadhari.
Unaweza nipa ushuhuda wa shutuma au Jambo baya alilowahi kulifanya Polepole ambalo lilikuja public( maana sisemi yeye ni Mtakatifu)

Jambo lolote hata shutuma au kweli kama kina Gambo na Makonda.

Au kosa lake ni kutokuwa active wakati wa JPM?
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!
Hongera Humphrey. Ile barua imeshiba haswa na Ina mishale mikali lakini kwa yote ni barua iliyotoka kwenye kinywa Cha mbobevu
 
Ila hajavunja rekodi maana Marehemu Balozi Christopher Kassanga Tumbo aliishajiuzulu mwaka 1967 akiwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
 
Naam
 
Sawasawa!

Twende kwa tahadhari.
Unaweza nipa ushuhuda wa shutuma au Jambo baya alilowahi kulifanya Polepole ambalo lilikuja public( maana sisemi yeye ni Mtakatifu)

Jambo lolote hata shutuma au kweli kama kina Gambo na Makonda.

Au kosa lake ni kutokuwa active wakati wa JPM?

Issue ya kupita bila kupingwa ilianzishwa na polepole akisaidiana na bashiru , around 2017 .

Biashara ya kushawishi wapinzani kutoka opposition kuja chama tawala yeye ndo alikuwa mratibu .

Kupiga pasi ya visigino yaani mgombea wanayemtaka wao ndo anakuwa nominated kugombea ubunge kupitia ccm.

Kubariki , Mauaji , utekaji , kuwaweka watu vizuizini.

Sasa mifumo Kama hii yeye ndo alikuwa master planner then leo hii anaikosoa yaani unakosea kitu ulichokiumba wewe kid .

Jamaa ana IQ ndogo na hana maono kabisa
 
Huu ujasiri wa jamaa huyu (Polepole) katikati ya ukatili wa utawala wa Bi Jezebel Samia wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua na kumbambikia kesi wakosoaji wa serikali yake si wa kawaida, si wa bure...

Huyu amehakikishiwa usalama wake kabla ya kujilipua. Liko kundi kubwa nyuma yake linalo msapoti...

Bi Jezebel Samia Suluhu Hassan ana wakati mgumu sana kuliko wa Jakaya Kikwete mwaka 2015...

Salama yake na ya CCM kwa ujumla ni Bi Jezebel Samia Suluhu Hassan kutangaza sasa kujiondoa kwenye kugombea u - Rais tena ili waliobaki wapambane na apatikane mmoja na ni lazima awe MTANGANYIKA...

Hutataki Tanganyika kutawaliwa na Mzanzibari asilani...

Kama katiba haimzuii mzanzibar kugombea kwa nini wewe uone tatizo?

Hapa tunachozungumzia ni Haki.

Mtu yeyote anahaki ya kuongoza nchi hii kama Sheria zinamruhusu.

Rais Samia anayohaki ya kuwa Rais nchi hii.
Ugomvi na mgogoro uliopo ni yeye kupitishwa kinyemela na kuzuia haki za wengine ambao wanataka kugombea nafasi hiyo kama yeye.

Hapo hata Mimi sikubaliani Napo.
Wengine nao wachukue fomu, uchaguzi ufanyike, atakayechaguliwa huyo ndiye anastahili. Iwe ni yeye au mwingine
 
Issue ya kupita bila kupingwa ilianzishwa na polepole akisaidiana na bashiru , around 2017 .
Hii sina uhakika na siwezi kuitolea maelezo nitadanganya.
Lakini kama alifanya au kuhusika basi alikosea,

Biashara ya kushawishi wapinzani kutoka opposition kuja chama tawala yeye ndo alikuwa mratibu .
Hii sio tatizo, sio kosa kisheria, NI sehemu ya KAZI ya wanasiasa.
Kama Chadema wanavyoshawishi NRNE.

Shida itakuja kama hatashawishi ila atatumia mabavu ya dola, au kutoa rushwa.

Kupiga pasi ya visigino yaani mgombea wanayemtaka wao ndo anakuwa nominated kugombea ubunge kupitia ccm.

Kubariki , Mauaji , utekaji , kuwaweka watu vizuizini.

Sasa mifumo Kama hii yeye ndo alikuwa master planner then leo hii anaikosoa yaani unakosea kitu ulichokiumba wewe kid .

Jamaa ana IQ ndogo na hana maono kabisa

Huku nafikiri Polepole Hana ubavu na hakuwa na role hiyo.
Ingawaje unaweza kumhusisha kwa kuwa sehemu karibu na JPM.

Swali; kwa mfano Siku ukijua kuwa JPM hakuhusika na utekaji na mauaji utafanyaje, utajihisi vipi?
 
Back
Top Bottom