Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Hajakosea, ila hana sifa za kusimamoa haki, bali ana matakwa yake binafsi kwenye awamu hii naona hayafikiwi, hivyo anatumia vitisho kutaka kuyapata. Alichosimamia wakati wa Magufuli hatujakisahau kabisa, na wala hatumuoni shujaa wa hivyo. Ila ni sawa huko ccm waingie kwenye migogoro.

Alaumiwe kwa aliyoyafanya au kushiriki wakati uliopita. Hiya ni haki.

Pia kama amefanya Jambo jema wakati huu apongezwe. Hiyo ni haki.

Mtu anahaki ya kubadilika kutoka kuwa Mbaya kuja kuwa mzuri. Hayo huitwa mafanikio, wokovu, ukombozi.

Pia mtu anahaki ya kubadilika kuwa mzuri kwenda mbaya, hayo huitwa maanguko,kushindwa na kufeli.

Na mtu atahukumiwa na kuokolewa kwa hatma yake, sio mapito take.
 
Gwajima hakuwa staged,
Barua ya Polepole haipo Staged kwani inashusha heshima ya uongozi mzima wa Rais Jambo ambalo kisiasa na wakati tuliopo wa uchaguzi ni gumu.
Sikatai usemacho, lakini hao wanasiasa wa ccm sio wa kuwaamini kwa lolote. Polepole tuliyemuona wakati wa rasimu ya Warioba, aligeuka akasimamia mambo tofauti kabisa wakati wa Magufuli. Ni wendawazimu kujenga imani kwa mtu wa aina hiyo.
 
Ni kosa kujenga Imani kwa mwanasiasa au mtu yeyote. Hilo ni kweli.
 
Alaumiwe kwa aliyoyafanya au kushiriki wakati uliopita. Hiya ni haki.

Pia kama amefanya Jambo jema wakati huu apongezwe. Hiyo ni haki.

Mtu anahaki ya kubadilika kutoka kuwa Mbaya kuja kuwa mzuri. Hayo huitwa mafanikio, wokovu, ukombozi.

Pia mtu anahaki ya kubadilika kuwa mzuri kwenda mbaya, hayo huitwa maanguko,kushindwa na kufeli.

Na mtu atahukumiwa na kuokolewa kwa hatma yake, sio mapito take.
Spot on!

Watanzania wengi hawaelewi jambo hili.

Wanaamini kama mtu alikosea mwaka 1961 basi hata 2025 bado anastahili kuhusishwa na kuhukukiwa kwa kola hilo, hata kama alishajitenga nalo.
 
Spot on!

Watanzania wengi hawaelewi jambo hili.

Wanaamini kama mtu alikosea mwaka 1961 basi hata 2025 bado anastahili kuhusishwa na kola hilo.

Hiyo ni tabia mbaya, tabia ya kishetani.

Mtu anataka akuone na kukutafsiri vile alivyokuona au kusikia Jana.
Ndio maana hata ukifanikiwa utasikia, huyu jamaa alikuwa kapuku Sana, Hana lolote.
 
"The History will absolutely Me" haya maneno aliyasema Fidel Castrol miaka ile ....Leo tena tunayashudia kweli bado tunanafasi ya mageuzi makubwa ya kiutawala kwa siku sijazo.
 
Tayari mkuu,nimeiona.
Sasa hizi akili za nyongeza huyu jamaa kazipata wapi? Maana walioko kule wanachoweza ni kuhakikisha wananyonya rasilimali za Tanganyika mpaka ziishe au ndio kusema kwamba kanyonya mpa kazidiwa hivyo kaamua kuacha?

Nafikiri ameona wengine(ndani ya chama) wanarusha mishale off target kwa hofu,
Mpina mwenyewe na ujasiri wake hakufikia kiwango cha kumuelekezea chuma Boss wake. Gwajima halikadhalika, wengi walikuwa wanapiga kwa hofu makombora Yao yakileta madhara lakini sio direct.

Hili kombora limepigwa moja kwa moja na lipo on target
 
Kama ni barua kutoka kwake kweli basi hapa hii ni shuti lililolenga lango ni moja na ni la hatari.
Lkn huyu jamaa ni miongoni mwa waanzilishi na waasisi wa hizi rafu za kumalizia chakula jikoni badala ya kuleata mezani kama ilivyochapishwa fomu moja mwaka 2020, na sasa HATA HIYO MOJA HAIKUCHAPISHWA.

Hata hivyo masualwa ya kutekwa na kupotezwa kwa Watanganyika yalishamili wakati ambao yeye alikuwa mbeba upodo wa kuhifadhia mishare,ni kipi zaidi kimemtisha yeye maana simuamini hata kidogo?
 
Ngoja tuone
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!
Amejiuzulu na kukosoa kuwa utawala wa boss wake haufuati haki za binadamu. bila shaka amemaanisha;
  1. Wakristo kufungiwa makanisa wasisali ila waislam wenzie wanaswali bila shida
  2. watu kupotea na kukutwa wameumizwa
  3. watu kuuawa na kutupwa
  4. maovu mengi ya wasiojulikana ambao raia wanasemani polisi, ila hasikii kitu
  5. kutoshaurika hata pale haki za binadamu zinapovunjwa waziwazi.
  6. Watanganyika kunyimwa haki ya nchi yao ya Tanganyika wakati zenji inanawiri!
 
Polepole ametaka historia imtenge na uovu. Hakutaka kuwa miongoni mwa wahusika wala waungaji mkono wa uharamia wakati ushetani ulivyozidi kuongezeka, wakati kiongozi kibaraka alivyoendelea kuwateka na kuwaua watanganyika, wakati mtawala alivyozidi kukabidhi njia zote kuu za uchumi za Tanganyika kwa waarabu, wakati mtawala alivyoanza kupanga na kutekeleza mipango ya kuwaua viongozi wa dini za Kikristo walioamua kuukemea ushetani, wakati mtawala alivyozidi kudhulumu haki zote na uhuru wa wananchi kuwachagua viongozi wake.

Polepole amefanya jambo jema, ameweka historia, ameweka alama ya kuukataa uovu ndani ya nchi na chama chake kilichogeuzwa kuwa Chama Cha Mashetani.
 
Hiyo defensive mechanism.

Hayo anayoyalalamikia kwa asilimia kubwa yeye ndo amekuwa akiyaratibu .

Ukifanya analysis unagundua huyu jamaa kafukuzwa Ila kaamua kuweka hiyo barua ili atafsirike kama hero.

Sijaona jambo la maana amendika hapo .

Mfano utawala wa awamu ya 05

-Kuua demokrasia
-utu
-Haki

Hii misingi alikuwa anaiaharibu yeye mwenyewe na Bashiru then Leo analalamimia mambo yaleyale aliyokuwa anayafanya .

Ukiwa na IQ ndogo utampongeza Ila this guy is not my hero.

Lazima uwe huna akili kabisa kuamini kuwa Polepole amefukuzwa.

Kama una akili makini, ukitizama tu content ya barua, haiashirii kwa namna yoyote kuwa amefukuzwa.

Amepigiwa simu na vyombo vya habari amekiri kuwa ameamua kujiuzulu.
 
Huu ujasiri wa jamaa huyu (Polepole) katikati ya ukatili wa utawala wa Bi Jezebel Samia wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua na kumbambikia kesi wakosoaji wa serikali yake si wa kawaida, si wa bure...

Huyu amehakikishiwa usalama wake kabla ya kujilipua. Liko kundi kubwa nyuma yake linalo msapoti...

Hebu fikiri: Majaliwa, Makamba Jr, Philip Mpango, Gambo, Mpina and others wamejitenga na u - Samia unaoendelea....

Je, ni kwa sababu tu wametosheka na hawataki tena kuwa viongozi ktk serikali ijayo wakati wanayo hiyo nafasi na umri wao ukiwa bado vijana kabisa? Bila shaka wameona njia zao zimeziba. Wanatumia njia nyingine kufikia hatima yao...!!

Bi Jezebel Samia Suluhu Hassan ana wakati mgumu sana kuliko wa Jakaya Kikwete mwaka 2015...

Salama yake na ya CCM kwa ujumla ni Bi Jezebel Samia Suluhu Hassan kutangaza sasa kujiondoa kwenye kugombea u - Rais tena ili waliobaki wapambane na apatikane mmoja na ni lazima awe MTANGANYIKA...

Hutataki Tanganyika kutawaliwa na Mzanzibari asilani...

Kwa kweli baada ya uchafu alioufanya huyu wa sasa wa kugawa rasilimali za Tanganyika kwa ndugu zake waarabu, kuchukua mikopo mikubwa na kuipeleka Zanzibar, huku mlipaji ni Tanganyika, iwe ni marufuku na mwiko kabisa mzanzibari kuwa Rais wa Tanzania, labda muundo wa muungano ubadilike.
 
Back
Top Bottom