Humphrey Polepole: Mtibeli aliyevaa bomu la kujitoa Mhanga

Hiyo defensive mechanism.

Hayo anayoyalalamikia kwa asilimia kubwa yeye ndo amekuwa akiyaratibu .

Ukifanya analysis unagundua huyu jamaa kafukuzwa Ila kaamua kuweka hiyo barua ili atafsirike kama hero.

Sijaona jambo la maana amendika hapo .

Mfano utawala wa awamu ya 05

-Kuua demokrasia
-utu
-Haki

Hii misingi alikuwa anaiaharibu yeye mwenyewe na Bashiru then Leo analalamimia mambo yaleyale aliyokuwa anayafanya .

Ukiwa na IQ ndogo utampongeza Ila this guy is not my hero.
Same to me
 
CCM ni sawa na wadini na wakabila,ukianza hizo tabia huwezi kuishia kuwabagua wasio dini au kabila lako tuu, angalia sasa wizi wa kura na uonevu waliowafanyia wapinzani, sasa wanafanyiana wenyewe kwa wenyewe,wagombea wao wanapatikana bila kufuata sheria wala utaratibu na hakuna nafasi ya kuongea ukweli zaidi ya uchawa tuu, angalia Ndugai, Gwajima, Mpina etc bila kusifia au kuimba mama mama huna nafasi na unaonekana msaliti, mpasuko umeanza maana kina polepole wako wengi sana na huwezi kuwa na chama imara kwa kujaza watu wa kujipendekeza tuu wasio na akili
 
Naona Ngwajiboy ana unafuu kuliko huyo.
Sijui kama atapona adhabu.
 
Hiyo defensive mechanism.

Hayo anayoyalalamikia kwa asilimia kubwa yeye ndo amekuwa akiyaratibu .

Ukifanya analysis unagundua huyu jamaa kafukuzwa Ila kaamua kuweka hiyo barua ili atafsirike kama hero.

Sijaona jambo la maana amendika hapo .

Mfano utawala wa awamu ya 05

-Kuua demokrasia
-utu
-Haki

Hii misingi alikuwa anaiaharibu yeye mwenyewe na Bashiru then Leo analalamimia mambo yaleyale aliyokuwa anayafanya .

Ukiwa na IQ ndogo utampongeza Ila this guy is not my hero.

Mungu mwenyewe angekua ana hukumu kwa kufuata historia kusingekuwa na kutubu,tunaenda kanisani/msikitini kuungama tunaomba Mungu atufutie dhambi za Nyuma na kutufanya tuwe wapya
Kama polepole leo kaona zile staili za utawala wa Magu na sasa samia ni Ujinga na wana kiuka haki za binadamu pamoja na katiba ya chama chake na katiba ya Nchi tena ameandika kwa ujasiri mkubwa kwa Boss wake bila hiyana wala kuogopa na katema mkate kaona bora abaki anashindia mlenda kuliko kuwa sehemu ya huo utawala maana yake amejitambua

Ni ajabu sana kuendelea kumuhukumu kwa utawala wa Magu,hapa wewe ndo hujitambui na sio yeye tena,hutakiwi kuhukumu kwa historia unatakiwa utoe hukumu kwa matendo ya sasa ambayo yeye amaonesha kujitambua ata Mungu anatumia kete hii kufuta makosa yake ya Nyuma maanake ametubu

Ata Gwajima alivotoka hadharan kukemea yale maovu kulimfanya apate credit ata Kwa Mungu japokuwa huko Nyuma naye ana makandokando yake
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!
Mkuu naomba kujua maana ya Mtibeli?
 
Huyu jamaa angekuwa serious angekataa ubalozi..amekaa kwenye ubalozi miaka 4..amekula ameshiba eti ndo anasema huo UHAROOO..hivi ni demokrasia gani anayotaka ndani ya ccm...?wakati yeye akiwa mwenezi ccm alimpitisha katambi aliyepata kura 12 na kuwaacha ma"giant" kule shy..
HUYU HAFAI KUAMINIWA TENA ..ogopa sana mtu anaekunanga hadharani hata kama mama amekosea kwa heshima aliyompa polepole angemwandikia tu barua pasipo kuiweka kwa public..
 
Maoni yako yaheshimiwe
 
Naona kama sio salama sana maana wapo watu wasiopenda kuyasikia haya mambo watasema uchochezi.

Nadhani Mtibeli baki kwenye masuala ya kifamilia, maadili na makuzi huko naona unaenda vizuri.

Hatupendi kuona binti Kimoso akiomba msaada utafutwe kaka.

Shukrani sana Mkuu.
Barikiwa sana.

Wasiojulikana pia wanahitaji elimu ya Haki.
Mungu atatulinda, haki yake haitatuacha tuangamie. Itatulinda
 
Hamjambo!

Kwanza nimpongeze kwa hatua kubwa, ya kijasiri, yenye kuaibisha, kudharau, kudogodesha mambo yote yanayoendana na kinyume cha HAKI na KWELI.

Jambo kubwa ambalo Humphrey amelifanya katika barua yake ni kumkabili moja kwa Moja mwajiri wake, yaani Rais.
Kwamba, matendo ya Rais ndio yamemfanya Humphrey ajiuzulu. Hasa kupitishwa kiholela, kimazabe pasipo kufuata kanuni na Sheria za chama na kuwanyima wanaccm wengine fursa ya kugombea nafasi ya urais kwa Mwaka huu.

Historia itamkumbuka Humphrey Polepole kwa kukataa ulaji, uheshimiwa, na kumkaanga Boss wake bila kumuangalia usoni.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingejishughulisha.
Maana rais aliyeko madarakani ndiye kampa ajira ya ubalozi, hivyo kuitisha uchaguzi CCM ingeweza kuhatarisha maslahi ya balozi.

Watibeli tunampongeza Humphrey kwa ujasiri huo.

Tunahitaji watu ambao wataitetea HAKI hata kama ni haki za mahasimu wao.
Haki katika taifa letu ni usalama kwa nchi.
Uadilifu, maadili.

Bado hatujasahau waliotekwa, waliouawa, na waliopotea kwa mazingira ya matendo ya ukosoaji wa serikali.

Tunahitaji viongozi wanaothamini maisha ya wengine. Maisha ya watoto wa wengine.
Wanaoheshimu utu.
Wanaoheshimu sheria lakini Sheria za Haki.

Hatupo kwaajili ya kikundi au mtu Fulani.
Hatupo kwaajili ya chama Fulani.
Tupo kwaajili ya watu wote na makundi yote ya watanzania.
Tupo kwaajili ya vyama vyote.

Wanachadema wasiwaonee wanaccm
Na wanaccm wasiwaonee wanachadema.
Wote tuwe chini ya sheria.

Tupo kwaajili ya Nchi.
Tupo kwaajili ya urithi wa watoto wa nchi hii watakaokuja baada yetu.

Hongera Sana Humphrey!
Tena bomu lenyewe la balistic 10,000km masafa!
 
Back
Top Bottom