Tuambie posho na per diem kwa mwaka ni kiasi gani maana muda wote upo safarini Plus other fringe benefits. Sometimes monthly income doesn’t matter but yearly income matters"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Usijisifie Humphrey. Kuna watu humu tunapata lakhi moja na nusu kwa Wahindi hapa hapa Dar es Salaam lakini hatujajisifia."Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Msema pweke hakosi"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Kweli posho ni nying mno na hazikatwi kodi kama za sekta binafsi inavyo lazimisha zikatwe.ccm sio wa kuwaamini, inawezekana mshahara mdogo ila posho ni ndefu sana anazopata kwa vikao na ziara. MM binafsi kwa kupayuka kiasi kile wala siwezi kubali kulipwa hivo. Bora niwe nacheza na mke wangu chumbani tu!
Mshahara million 1 halafu unatembelea Gx V8 ya petrol yenye CC zaidi ya 4600,"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Nikuunganishie? Huwa nakutana nae kwenye kamati ya ulinziBASHITE NI MUMEO
"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
the thread is officially closed over here..Kwahiyo kulipwa milioni moja ndio kipimo cha uzalendo? Unajua posho na marupurupu anayopata? Hivi unajua kuna kazi posho na marurupu hupita mshahara kwa mbali sana na inawezekana akapewa posho na marupu rupu ya siku moja tu ambayo ni zaidi ya huo mshahara. Huyo anapewa nyumba, gari, wasaidizi na hata ulinzi, matibabu na kila anapotoka analipwa. Lakini kuna mtumishi wa serikali anapata si zaidi ya shilingi laki 5 lakini usafiri, chakula, malazi na taka taka nyingine zote ni juu yake. Huyo utamwita nani sasa ni fisadi? Kama ungeambiwa Posho na marupu rupu anayolipwa rais kwa ziara zake hizi hizi za ndani ndio ungejua kuwa mshahara ni bosheni tu! Ndio maana wanataja mishahara lakini hawataji marupurupu mengine. Sasa rais kwa mfano chakula kwake na familia yake ni bure, malazi ni bure, mavazi ni bure, ulinzi ni bure, usafiri ni bure, wasaidizi kibao ni bure sasa huyo hata asipopata mshahara si anaishi tu?
Pole pole ulitakiwa upate mshahara chini yabhapo."Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
HatariUkitaka uchezee shortgun uliza Mbowe na Halima Mdee wanavuta mpunga kiasi gani pale UFIPA..