"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
bado ni nyingi ukilinganisha na mshahara wa kazi muhimu kama ya ualimu mnaempa mshahara mdogo sana.hiyo kazi yako sio muhimu kama ya ualimu kwa hiyo hiyo milioni moj anayopewa ni ufisadi mtupu.