Humphrey Polepole: Mshahara wangu ni tzs 1,000,000 tu

"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.

Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"

Anauliza Pole Pole

View attachment 860506

Source:EATV
Nani anajali?
 
Huyu mzee sio mkweli! Tangu lini ccm wakawa wakweli?! Kule ni tanuru la kuzalisha uongo
 
Tena hata huo wakupunguzie, kijitu gan hutak kuoa umri huo
Umesemaje wewe? Nioe mara ngapi sasa? Huwaoni dada zako waliopo ccm na uvccm hata uwt na bibi zako wanavyotinga lumumba kila uchao kunitongoza nisikilize umbea wao na kuufanyia kazi ili mwisho Wa siku wakapate udc, udas na ukatibu manake mimi nina namba ya mteuaji?
Au unataka niwaoe wangapi kwa siku?
 
Atuambie na kwenye biashara ya Wabunge na madiwani wa upinzani analipwa kiasi gani?
 
"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.

Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Na per diem kwa mwezi ukizunguka kwa mwaka kama mwenezi ni kiasi gani Plus other fringe benefits? Sometimes monthly income doesn’t matter but yearly income matters a lot
Anauliza Pole Pole

View attachment 860506

Source:EATV
 
Back
Top Bottom