Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Yaani mshahara milioni moja kamili bila hata senti. Huo mshahara ni gross au take home? Polepole anakutumieni vizuri sana. Hadi anawakuoneeni huruma kwa kiwango hiki cha upumbavu.
Old mad"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Aweke pay slip yake hapa aache maneno"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Mwenye cheo kama chake pale CHADEMA analamba milioni 2.5 bila kodi wala makato yoyote"Mshahara wangu kama katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha CCM ni chini ya million moja(1,000,000)." - Polepole abainisha.
Hakika huo ni uzalendo kwa chama na Taifa kwa ujumla , CCM ni kisima cha viongozi bora kabisa! Sasa na upinzani watuambie wanalipwa kiasi gani ?"
Anauliza Pole Pole
View attachment 860506
Source:EATV
Duh nani huyo maeneo?Mwenye cheo kama chake pale CHADEMA analamba milioni 2.5 bila kodi wala makato yoyote
Mwenezi ni nani huko?Mwenye cheo kama chake pale CHADEMA analamba milioni 2.5 bila kodi wala makato yoyote
Mkuu,yaani anatembea bila kichwa kumbe ni kwa tsh 1000K!!? Sasa akitangaziwa kulipwa 15K US$ kwa mwezi si atatembea bila nguo kabisa!!? Kweli kuna watu utumwa wa mababu zetu bado upo kwenye damu zao. Pole yake na wengine wanaoendelea kufanyishwa utumwa.Mbona ndogo sana maana kulopoka kote huko nikajua analipwa 5+ huko
Mishahara mikubwa inaanzia kiwango gani?Wewe unadhani kama mshahara ungekuwa huo kweli mtu angeacha mishara mikubwa kule udsm aje kufanya siasa
Mkuu,hakuna kitu nakipinga kwa nguvu zangu zote kama umasikini. Na katika dhana mbaya kwa Taifa ni hii ya kufurahia kuwa umasikini ni uzalendo. Shida ndio Utanzania.Duh, poyoyo mingi kumbe hamna kitu
Umasikini sio uzalendo
Hivi hao majirani walishawahi kukulalamikia au ndio shobo?Mbowe yeye anakula ruzuku kapanga Ofisi haina hata choo Chadema wanakunya vyoo vya majirani
Wanalalamika mnoHivi hao majirani walishawahi kukulalamikia au ndio shobo?
Nisisitize...... Ifike mahali ccm muwe mnatumia akili ya kawaida tu kujenga hoja zenu kuliko hizi akili zilizoshiba ushabiki na uchumia tumbo.Hizi nunua nunua za wabunge na madiwani kisha mabilioni ya sh ya masikini wa nchi hii yanatumika kurjea chaguzi halafu bado unaita uzalendo?! Kapimwe akili kwanza ndio ujue nini maana halisi ya neno uzalendo
Anaongoza chama kinachofanya uharamia dhidi ya binadamu halafu unasema huo ni uzalendo?! Mjinga siku zote ni mtaji wa wanasiasa uchwara jamii ya kichaa
Ccm ya sasa hakuna mzalendo hata mmoja, wote wachumia matumbo tu ndio yanawafanya kupayuka payuka tu matusi chungu nzima wakiongozwa na kichaa wao
Ifike mahali ccm muwe mnatumia akili ya kawaida tu kujenga hoja zenu kuliko hizi akili zilizoshiba ushabiki na uchumia tumbo