JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,200
Go go go Polepole, tuko nawe bega kwa neha, we can't let our country go to the dogs.
police must investigate thoroughly
Una ushahidi au ni umbea wako wa kawaida tu?
mkuu sasa tukianza kuhoji kwamba mods humu wamesha nunuliwa na massm tutakua tunasema uongo?
Hai wezekani kichaa m1 akaleta uchochezi humu alafu mods wakafumbia macho jambo hili,
bila kuchukua hatua stahiki kwa mtu huyo!
Muongo anatafuta huruma ya watu..akikua huyu kijana atakua mchawi
Absolutely that's an important point just startin for !Nina wasiwasi na gazeti lililoandika habari hizi, ili tukio lilitokea saa ngapi, na zikalipotiwa saa ngapi, na zikaandikwa kwenye gazeti saa ngapi, na je, ili gazeti linachapishwa muda gani? Maana huyu PolePole hadi usiku wa saa tano alikuwa Channel 10.