Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni athari za kukata swichi watu wanakomaa na VPN zinazidi, kateni kama ni jambo la kufa na kupona lakini mnakata hata mapambano yetu dhidi ya wahuni, hapana, au na ninyi mko upande wa wahuni ?
Mjuze mwenzio.