Humphrey Polepole apinga chanjo ya Malaria, amesema haiaminiki

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,937
25,279
Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu.
Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na ugonjwa huo kuanza kuitumia baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika hatua za majaribio.

Tafiti za chanjo hii ya malaria zimekuwapo tangia miaka ya 1980's.

Kumbe waliokuwa wakinadi hadithi za kuwa kwanini hakuna tafiti za chanjo za malaria walikuwa wasanii tu kama Kingwendu 😂😂!

Muhimu kutambua changamoto kwenye upatikanaji wa chanjo ya malaria iko kwenye kwamba mtu hata akiugua leo anaweza ugua tena ndani ya siku chache baadaye.
 
Pole pole hana direction. Huyu jamaa anakataaga kitu then akifinywa mahali anasuport. Ni ng'ombe
 
Nataka niwatengenezee maji ya machungwa na limao niwaambie ni chanjo ya HIV ili nipige hela kama babu wa loliondo najua hata serekali ikikataa mtajileta tu ugonjwa umekaa pabaya ule.
 
Huyu mpuuzi hajasahau ujinga wa mwendazake tu.

Mwendazake bila ya aibu alisema chanjo hazifai.
 
Ikipatikana ya VIH nadhan atatulia msimuone mjinga anashangaa mbona wanatengeneza za korona na malaria wakat ya IWMIKU haigunduliwi na yeye mwili unazid kupotea TU anameza VRA Lakn bado

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu adhibitiwe haraka, ikiwezekana avuliwe ubunge. Kama alivyosema mdau hapo juu amekuwa akifanya public damage ambayo itaigharimu wizara ya afya pale itapokuja kuingiza na kutumia chanjo. Toka lini amekuwa mtaalamu wa afya?
 
Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu.
Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na ugonjwa huo kuanza kuitumia baada ya kuonyesha mafanikio makubwa katika hatua za majaribio.

Atengeze yake ya ugolo kutoka chato sio kupinga pinga tu,

Hell to him with his V 8
 
Back
Top Bottom