Humphrey Polepole andaa Suti

Muulize Lowasa anamjua jamaa vizuri sana, na kumbuka anavyompitisha bila kufuata utaratibu alisema labda litokee lingine.
Samia katengenezwa na Kikwete na AAK hadi kufika hapo,
Kikwete kwa sasa ni kama ndio raisi Samia ni kivuli,
Anawezaje kuondoa kivuli ambacho kinamfamnya aongoze yeye nyuma ya pazia?
 
Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini,

Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi


Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka

Britanicca
Suti limeyeyuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…