Humphrey Polepole ana codes

Humphrey Polepole ana codes

Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.

Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?

Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
 
Ben Saanane yuko wapi?
 
Unawezaje kuwa TISS bila kozi?
Unawezaje kuwa TISS bila ya kuwa kwenye payroll Yao?
Ukijua kiundani maana ya TISS na vitengo vyake ( categorization) unaweza gundua hata informant Ambaye ni Mbea tu anaweza akatumiwa Kwa KAZI za TISS na asiwe TISS. TISS is more than a title it is a role and purpose behind it. Kuna watu humu SIO TISS ila najua kabisa wanapenyeza na kupenyezewa TAARIFA Ambazo ni very crucial Kwa TISS humu jukwaani.

Mfano Kuna post Ambazo kitengo ikiziona Huwa wanaweka Kambi hapo na kukusanya au kufatilia taarifa hizo kiundani na zinaweza zikawa zimetoka Kwa MTU WA Kawaida tu (mere man). Kwamfano Nina jua account za watu kama 10 hivi Top spy wa nchi wanazitumia kudondosha taarifa indirect na wanaweka Kambi kwenye hizo account kuangalia reaction ya watu.

Wanayoyafanya kina Polepole wameyapima muda mrefu sana na wanajua faida zake na hasara na maamuzi Mfano ya Polepole yako very calculated na wanakikundi Chao kabisa chenye nguvu ya dora kama vile TISS na Vyombo vya usalama vinawapa backup na soon Movement Yao itasambaa na wataungana na wapinzani wa kweli Kudai mabadiliko SI Kwa kujiunga na wapinzani Bali kusukuma kete za wapinzani Ili wapate nguvu ya umma na pia WA win trust Hadi ya wapinzani (CHADEMA). Na ndio máana kuna SIku nilitaja Hapa Kuwa ORDER OF POTENTIAL CANDIDATE AND PROSPECT CANDIDATE FOR PRESIDENCY NI GWAJIMA THEN LISSU.... kwanza niweke koma Hapa Niko safarini mpeni salamu Mh. MAJALIWA...LUAGA MPINA...POLEPOLE...HECHE...LEMA...GWAJIMA...LISSU...SLAA... na wale WAZEE walio jiuzuru they combo will be unstoppable
 
Kama Magufuli pamoja na kuusikilizisha umma utaahira wa Makamba na Napę hakuona sababu ya kuuwa ndoto zao za muda mrefu wa siasa.

Hawa walio wakata leo watu hao hao (ambao most likely itakuwa wameropoka tena).

Lakini waliowakata leo huko chini unadhani wanafikiria siasa za 2025 au kuondoa influence yao come 2030.

Huyo mama ni mateka tu wa mafisadi, hajui hata anachokifanya hapo Ikulu.

Mtanikumbuka kwa mema sio kwa mabaya hiyo message sio muda mrefu ita make sense kwa watu naive kama Napę na Makamba; ambao walikuwa wanamtukana Magufuli na account fekero humu,

Be real and stand on what you believe, eventually things will fall into place; that’s life,
 
Back
Top Bottom